Na pia Tar 15 Kibaha kwa Mfipa ,wakora wameingia wakaiba mali za ndani na gari IST ,wakawatupa Mke na mume kwenye mashimo ya maji taka tofauti ,mtoto wao mdogo wa miezi 7 wameondoka naye.
Hizi mali zinatuondolea UTU.
Jeshi la polisi kwa jinsi technologie ilivyokuwa nawashauri wapanye forensic kwenye hiyo nyumba wapate alama za vidole ,warequest namba za simu zilizokuwepo maeneo hayo around saa 11 mpaka saa mbili asubuhi........Kisha hizo namba ambazo zikaja kusoma maeneo tofauti na kibaha wazifanyie analysis.
Hao wahuni mkishawapata dawa yao ni kutaja MTANDAO wao wote kisha Mnawapa HAKI YAO ya kikatiba kama walivyofanya CONGO.