Mtoto aliyeibiwa Pwani akutwa Ruaha Morogoro

Ushatoa Siri, watajificha
 
Hao walio mchukua ni wauaji kwani walikusudia kuwaua wazazi wake, ni Mungu tu alisimama.
Ukifikiria vizuri, utaelewa kwa nini Wachina wana ile adhabu yao ya hadharani....
 
Huyu sio Pwani bali ni Kilosa
 
Hao wahuni mkishawapata dawa yao ni kutaja MTANDAO wao wote kisha Mnawapa HAKI YAO ya kikatiba kama walivyofanya CONGO.💪🏿
 
U
Umechanganya desa mkuu, huyo kwenye hiyo taarifa uliyo-attach ni wilaya ya Kilosa ila matukio yote yalitokea siku moja........soma content ya taarifa maana hata wadau wengi kwenye comment naona nao wameunga tela kuhusisha na yule wa Kibaha ambapo wazazi wake walitumbikizwa kwenye mashimo ya maji taka (yeye mtoto alikuwa ni wa miezi 7)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…