Wanasema alikuwa na miaka 14,mimi ambacho sijaelewa hivi awa watu wanatumia akili gani?mtu mzima ,baba mwenye familia anayeelewa nini watoto ufanya yuko busy kuandamana na kuchoma makanisa heti kisa mtoto wa miaka 14,hivi kweli huyu ni mzazi na ana akili timamu?mangapi maovu binadamu huyafanya kwa kisingizio cha dini?baba mzima na mindevu unaandamana kulaani mtoto wa miaka 14?is this not insanity?hivi kama huyo anayeandamana akisikia mwanae kaonekana akila kiti moto kijiweni atamnyonga
KIUKWELI KAMA SHERIA INFUATA HAKI WOTE WALITAKIWA WAWEKWE MBARONI MAANA HATA YULE ALIYE MSHAWISHI MWENZAKE KUKOJOLEA MS...F NAYE ANAHATIA HANA NA SIONI ULAZIMA WA KUMUADHIBU MTOTO HUYO MAANA BADO AKILI YAKE IKO KATIKA KIPINDI CHA MAJARIBIO