Mtoto aliyekojolea msaafu kortini...

Mtoto aliyekojolea msaafu kortini...

Wanasema alikuwa na miaka 14,mimi ambacho sijaelewa hivi awa watu wanatumia akili gani?mtu mzima ,baba mwenye familia anayeelewa nini watoto ufanya yuko busy kuandamana na kuchoma makanisa heti kisa mtoto wa miaka 14,hivi kweli huyu ni mzazi na ana akili timamu?mangapi maovu binadamu huyafanya kwa kisingizio cha dini?baba mzima na mindevu unaandamana kulaani mtoto wa miaka 14?is this not insanity?hivi kama huyo anayeandamana akisikia mwanae kaonekana akila kiti moto kijiweni atamnyonga

KIUKWELI KAMA SHERIA INFUATA HAKI WOTE WALITAKIWA WAWEKWE MBARONI MAANA HATA YULE ALIYE MSHAWISHI MWENZAKE KUKOJOLEA MS...F NAYE ANAHATIA HANA NA SIONI ULAZIMA WA KUMUADHIBU MTOTO HUYO MAANA BADO AKILI YAKE IKO KATIKA KIPINDI CHA MAJARIBIO
 
mimi ni muislamu....kufikishwa mahakamani mtoto huyu si sahihi![/QUOTE

Kama Waislamu wanaamini Kuruan ni kitabu cha Mungu kwanini watoe hukumu wakati mwenye mali ambaye ni Mungu yuko...........wangemwachia Mungu mwenyewe atoe hukumu, ikitokea mtu akakojolea au kuchoma Biblia hakuna mkristo atakayelipiza kisasi kwa kuwa ni Kitabu cha Mungu na Mungu ndiye atakayehukumu mwenyewe. Waislamu wana agenda ya siri juu ya wakristo lakini nawaambia hata wachome makanisa yote Tanzania hawawezi kufanikiwa kwa jina la Yesu Kristo aliye hai, tena nawaambieni mnayoyafanya mtalipwa hapahapa dunia siku si nyingi
 
kiukweli ifikie mahala busara itumike kwani sijaona sababu ya uyo mtoto kufikishwa kizimbani na wajaribu kufikiria kuwa uyo ni mtoto na wala hakuwa na dhamira ya kufanya ivo na kwa kufanya ivo watasababisha tanzania yetu iwe secular state na itakuwa inaunganisha state na religion
 
SECTION NUMBER 129 of the tanzania penal code cap 16 "ANY PERSON WHO ,WITH THE DELIBERATE INTENTION OF WOUNDING THE RELIGIUOS FEELINGS OF ANY PERSON,UTTERS ANY WORD,OR MAKES ANY SOUND IN THE HEARING OF THAT PERSON OR PLACES ANY OBJECT IN THE SIGHT OF THAT PERSON,IS GUILTY OF AN OFFENCE AND IS LIABLE TO IMPRISONMENT FOR ONE YEAR"
 
Back
Top Bottom