Huo ndio msimamo wa Uislamu sio wanguUwezo wako mdogo saana wa kufkilia..leo ndo nimejua hiloo
Ukifa ndio utajua athari ya maamuzi yakoMimi siwezi pangiwa maisha na taasisi ya kitabu kilicholetwa na wengine ,nitafanya vile ninavyojisikia ni sahihi moyoni mwangu!!
Kila MTU ana mission yake duniani na sio kuwa mtumwa wa ukristo au uislam!!!
MAKINIKA!
Acha kutishia watu. Sijui kwanini Huwa mnapenda kutishia watu kuhusu kifo.Ukifa ndio utajua athari ya maamuzi yako
Innallillah wainnarah illah raajiunMud alikuwa mpumbavu sana
Hufi?Acha kutishia watu. Sijui kwanini Huwa mnapenda kutishia watu kuhusu kifo.
Uliwahi kufa ukarudi!!?kwanini utekwe kiasi hicho na jambo ambalo wewe hulijui vizuri zaidi ya kuamini TU!!?Ina maana unaamini wote tilitumwa tuwe waislam au wakristo duniani!!?Ukifa ndio utajua athari ya maamuzi yako
Unauliza swala la kijinga, wewe unaweza kurudi ktk tumbo la mama yako kwa njia ile ile uliotokea hivi sasa? Kwanini? Kama majani yanakufa na kuwahai tena wakati wa mvua, basi na wewe utarudiUliwahi kufa ukarudi!!?kwanini utekwe kiasi hicho na jambo ambalo wewe hulijui vizuri zaidi ya kuamini TU!!?Ina maana unaamini wote tilitumwa tuwe waislam au wakristo duniani!!?
Soma vizuri maandiko yako
Saudia Roho mbaya? Wamefanyaje?Waka Andiko
La acha Roho mbaya kama Saudi Arabia:
Huwa hamuruhusiwi kutumia fikra huru kuchanganua mambo?? Badala ya kuegemea kwenye msimamo wa uislamu?Huo ndio msimamo wa Uislamu sio wangu
YESU anakupenda ndugu karibu uokoke nawe ufunuliwe uione Nuru ya kweliMtoto anaeritadi yaani kutoka uislam kuingia dini nyengine hatakiwi kubaki nyumbani.
Anatakiwa atafute pakukaa.
Huu ndio msimamo wa Uislamu, sio matakwa yangu. Kama umeamua kuwa mwanachama unatakiwa uufuate
Fikra huru ipi? Aliekupa kinyeo akikiziba utakunya wapi?Huwa hamuruhusiwi kutumia fikra huru kuchanganua mambo?? Badala ya kuegemea kwenye msimamo wa uislamu?