Watoto wengi huwa hawashibi. Maziwa ya mama zao hayatoshi. Ndiyo maana ukiona analia kila wakati hata mtoto wa siku mbili, tunampa uji! Uji unachujwa na kitambaa ili kupata Yale maji maji na kumnywesha kwa kijiko. Akishakunywa tuvijiko vitatu utaona anacheua. Usingizi mara moja! Kuzaa si kazi, kazi kulea.Anashiba bila shaka
Hata kama haiwezi kuwa hivyo