Watoto wengi huwa hawashibi. Maziwa ya mama zao hayatoshi. Ndiyo maana ukiona analia kila wakati hata mtoto wa siku mbili, tunampa uji! Uji unachujwa na kitambaa ili kupata Yale maji maji na kumnywesha kwa kijiko. Akishakunywa tuvijiko vitatu utaona anacheua. Usingizi mara moja! Kuzaa si kazi, kazi kulea.Anashiba bila shaka
Hata kama haiwezi kuwa hivyo
Alikuwa ametimiza miezi 9
Njia ya kawaida
hajawahi kupata tatizo
Ndio alilia kama kawaida hakuwa na changamoto yoyote
Alizaliwa na kilo 4.4
pole sana ndugu yangu regency medical center iko dar es salaam.Asante sana
Regency iko wapi Mimi nipo arusha
Dah huyu anapiga uji na mtori lkn wapiWatoto wengi huwa hawashibi. Maziwa ya mama zao hayatoshi. Ndiyo maana ukiona analia kila wakati hata mtoto wa siku mbili, tunampa uji! Uji unachujwa na kitambaa ili kupata Yale maji maji na kumnywesha kwa kijiko. Akishakunywa tuvijiko vitatu utaona anacheua. Usingizi mara moja! Kuzaa si kazi, kazi kulea.
Sawa ndio nipo hospitali tunasubiri vipimoMtoto anaweza kua na matatizo ya
Moyo
Mapafu
Matatizo ya Mfumo wa Chakula
Homoni mf, Homoni za ukuaji , thyroid
Matatizo ya Metabolic
Anahitajika zaidi Kwa Sasa kujikita kwenye Vipimo kuliko matibabu.
Kaonane na Daktari Bingwa wa Watoto.
Asante sanapole sana ndugu yangu regency medical center iko dar es salaam.
tuko pamoja ndugu yangu.Asante sana
Kweli kazi kulea mwana mkuu. Unga upi mzuri mkuu?Watoto wengi huwa hawashibi. Maziwa ya mama zao hayatoshi. Ndiyo maana ukiona analia kila wakati hata mtoto wa siku mbili, tunampa uji! Uji unachujwa na kitambaa ili kupata Yale maji maji na kumnywesha kwa kijiko. Akishakunywa tuvijiko vitatu utaona anacheua. Usingizi mara moja! Kuzaa si kazi, kazi kulea.
Wa Mahindi tu. Ila upike uive sawa sawa na chuja kwa kitambaa safiKweli kazi kulea mwana mkuu. Unga upi mzuri mkuu?
Sawa asante sana mkuuWa Mahindi tu. Ila upike uive sawa sawa na chuja kwa kitambaa safi
Aondoke na hili. Akitaka ushahidi ninao a hundred percentMpeleke kwenu kwenye mizimu ya kwenu mkabidhi kama wewe ni atheist!