Mtoto anarithi akili ya kuzaliwa kwa baba au kwa mama?

Mtoto anarithi akili ya kuzaliwa kwa baba au kwa mama?

Nimefanya a quick google search nimegundua kuwa approximately 50% ya our intelligence is inherited from parents - bado naendelea kutafuta kama mzazi mmoja anaweza kuwa na percentage gani kwa mwanae over the other parent.

The science is not yet settled on that, though.
 
Ulichokisema hapo nami nilishakisema mara nyingi sana humu. Kwamba, wazazi wote wawili huchangia kwa asilimia sawa kwa mtoto.

Na kuhusu urithi wa akili, mtoto anaweza kurithi toka kwa mzazi yeyote yule, awe baba au mama, babu au bibi, shangazi au mjomba.

Hakuna guarantee kwamba kama baba na mama wana akili nyingi basi mtoto naye atakuwa na akili nyingi, ingawa uwezekano wa hivyo utakuwa mkubwa zaidi kuliko uwezekano wa mtoto kutokuwa na akili.

Na nimeshalishuhudia hilo [la mama na baba kuwa na akili lakini watoto wao hamna kitu kabisa].

Hili la wazazi kuwa na akili sana lakini mtoto akawa na uwezo mdogo linaelezeka kisayansi. Genes zinampa mtu baseline potential ambayo inafinyangwa na mazingira yetu (environmentallly manipulated) ili kumpata mtu mwenye akili ya kuyatawala hayo mazingira. Kwa hiyo tunachokiona sisi na product ya genes na mazingira. Kwa hiyo mtoto anaweza kuonekana mwenye akili kubwa au ndogo kulinganisha na wazazi wake.
 
The science is not yet settled on that, though.

The science is cristal clear on the genetic bases of inheritance. That's why breeding in plants and animals have been used for centuries. And modern science including production of GMOs have just taken an advantage of this ancient knowledge.

Kwani kule kwetu hujaona watu wanagombania dume la ng'ombe au mbuzi?
 
Nadhani ni ama hukunipata vizuri au sikueleza vizuri nilichomaanisha.

Nilichokuwa nataka kusema ni kwamba, sayansi bado haiko settled kuwa ni mzazi yupi hasa ambaye mtoto hurithi akili toka kwake kwa kiasi/ asilimia nyingi.

Katika kusoma kwangu kote sijakutana na study hata moja inayosema kwa uhakika kabisa kuwa akili za mtoto, kwa mfano, hurithiwa toka kwa mama kwa asilimia 95.

But i learn new things everyday , so please enlighten me if you happen to know otherwise.
 
Na haiwezi kuwepo study ya namna hiyo kwa sababu principle za kurithi vinasaba (genes) ziko clear. Baba anatoa nusu (23 chromosomes) na mama pia anatoa nusu.

Tatizo la kitu kama akili kiko chini ya gene zaidi ya moja na kwa hiyo kitategemea combination kutoka kwa wazazi wote. Na juu yake kuna mazingira na epigenetic factors. Ila kurithi kunabaki 50/50.
 
Kwa hiyo unasemaje kuhusu wale wanaodai akili hurithiwa toka kwa mama? Hawajui walizungumzialo ?
 
Kwa hiyo unasemaje kuhusu wale wanaodai akili hurithiwa toka kwa mama? Hawajui walizungumzialo ?

Hiyo itakuwa miongoni mwa imani potofu.

Katika vinasaba, kuna genes zinapatikana kwenye mitochondrial DNA ambayo hurithiwa kupitia kwa mama. Akili haziko kwenye mitochondrial DNA au kwenye X-chromosome. Kwa hiyo, haiwezi kurithiwa kutoka kwa mama tu!!!!!
 
Kutoka kwa baba akisaidiwa na mama. Baba akili + mama akili= mtoto kipaji. Baba akili + mama hamna kitu= mtoto wastani. Baba hamna kitu + mama akili= mtoto mgumu kuelewa. Baba hamna kitu + mama hamna kitu= mtoto mjinga
 
Mkuu hii ni profession ya watu wanaofanya genetics na sasa tumeenda kwenye genomics.

InshaAllah nikipata nafasi tukumbushane tupige nondo kidogo.

But the bottom line remains that parents pass equal amount of genes to their children.

Mkuu kuna watu wanajibu hapa kana kwanba ni authority si wasome tu wajifunze..wanapotosha yaan....wape shule vijana
 
Mkuu kuna watu wanajibu hapa kana kwanba ni authority si wasome tu wajifunze..wanapotosha yaan....wape shule vijana

Tunaenda nao mdogo mdogo kaka.

Ila kinachonishangaza ni hii hali ya ufahamu wakati biology ni compulsory kwa O-level wote.

Kwa hiyo inawezekana kuna watu kibao walipitia shule fasta na hawakupata kumsikia yule Monk maarufu Gregory Mendel.
 
Ndio maana nimeshtuka kwamba kweli hata kuuliza swali kama hili? Very basic science ya inheritence watu wanambwela...... tuna kazi kubwa .....salama lakini mkuu
 
Ndio maana nimeshtuka kwamba kweli hata kuuliza swali kama hili? Very basic science ya inheritence watu wanambwela...... tuna kazi kubwa .....salama lakini mkuu

Tuko poa mkuu. Naona tumepoteana sana kaka.

Kwetu lini?
 
13, 2011
Children's level of intelligence is inherited from the mother?
Have you ever heard the advice "find a wife who is smart so I can have a bright child because intelligence is derived from a mother". However, you must be confused and wondering, that is how the intelligence was inherited from the mother? whether intelligence can be improved? and anything that affects the intelligence?

To answer these questions, the following descriptions that might be your reference.

~- Is Intelligence Inherited?

Towards the end of 1997, a scientist announced that he had found a gene on chromosome 6 intelligence. The average person has a specific sequence in the gene they will be, but the smart kids with an IQ of 160 who examined him have somewhat different sequences in the gene IGF2R TSB. Robert Plomin The discovery was soon mired in controversy. There's not much debate in the history of science that goes seseru debate surrounding intelligence. Parameters of intelligence with an IQ test itself is controversial. In the late 1990s, many scientists introduced another intelligence: emotional, spiritual, quotience adversity, etc.. One expert, Howard Gardner, and even has defined nine different types of intelligences, including visual intelligence, verbal intelligence, musical intelligence, wit and even athletics. This latter study it seems more fair. Said Mozart, Hemingway, or Zidane is more stupid than the Newton, is now going to sound pretty silly.

Another study conducted Thomas Bouchard. Starting 1979, he gathered a separate twin pairs from around the world and test their personality and IQ. Unexpected results of this study is the correlation between adopted children who grew up with turned out to zero. That is, there is no effect on the family farm IQ. If not family farm, then what determines IQ? The answer is the role of a mother's womb! According to another study, the influence of events that occur in the womb to the intelligence of a three times greater than anything done by the parents after the baby is born.

The conclusion that can be drawn from earlier studies is, this time according to Ridley, that roughly half of the IQ we get through inheritance, and less than 20% came from the family farm. The rest comes from the womb, school, and friends sepergaulan. IQ inheritance as children portions of approximately 45%, whereas in the late teens up to 75%. In line with the growth, the child gradually express their innate intelligence and leave earlier influences that infused others. Finally, although proven valid that intelligence is inherited, inheritance does not mean that can not be changed. Innate intelligence plays an important role, as the influence of environmental care can not be underestimated. Take the baby of a husband-wife professor of quantum mechanics and a doctorate in molecular biology, and he besarkanlah in East Nusa Tenggara, a place where children suffering from marasmus. Seventeen years later we will prove the conclusion of Ridley.-
 
mtoto anarithi kote kwa kiasi kilekile, provided that all factors are constant (i.e under seteris peribus) namba za chromosomes anazorithi mtoto ni sawa kutoka kwa mama na baba wakati wa kutungwa mimba, kwa hiyo wazazi wote wawili wanachangia intelligence ya mtoto. this is valid only when all factors are kept constant
 
Chances ni 50/50 baaasi, hizo nyingine ni porojo tu
 
Nimesoma hii article ikanipa mawazo juu ya jibu la swali la mdau hapa;

"Growing evidence shows that several genes which determine intelligence appear to be located on the X chromosome"

.akimaanisha hata kwenye Y chromosome kuna genes zinazo-determine intelligence ya mtoto INGAWA zipo zaidi kwenye X chromosome.

"Any mutation on the X chromosome has more effect on a man than a woman because a woman inherits X chromosomes from both her parents, which tends to dilute the gene's impact."

Kwa mtoto wa kiume (XY), yeye X chromosome yake anaipata kwa mama wakati kwa mwanamke anashare X from baba na ile ya mama.

.akaendelea.

"But a man only has one X chromosome inherited from his mother, which is paired with the much smaller Y chromosomes from his father. Therefore, an intelligence-enhancing X gene has more of a chance of becoming the predominate gene, determining the man's basic intelligence, looks and character"

.akimaanisha hata intelligence ya mtoto - hasa wa kiume - inatokana na intelligence ya mama...all other factors (environment et al) remaining constant.

SOURCE: Brainy sons owe intelligence to their mothers - News - The Independent
 
Haya ninakutana na hii wanaiita - CHUMVI KWENYE KIDONDA:

- The Y chromosome in XY men has about a hundred genes, none of which seem to be involved with cognition-thinking, figuring, planning; most of what we associate with intelligence.

- The X chromosome has a thousand genes, and a bunch of them influence cognition.

- if you're a guy and you're born really smart or really stupid, a lot of that's from your mother and grandmothers' genome.

- how you do in the world-relate, attach, cause problems, be a joy to hang out with-is more a function of how your mother related with you the first two years than how your father did

- SOURCE: Males Inherit More Intelligence from their Mothers [63] - The School of Love -
 
Back
Top Bottom