Mtoto chini ya miaka 10 kumkatisha usingizi kisa masomo uchwara; Saa 11 Alfajiri?

Mi wangu yupo kayumba tena darasa la saba huwa napunguza vitabu nikiona begi limezidi uzito, mtoto asiporudi kula mchana, wanawauliza walimu kulikoni,
 
Mi wangu yupo kayumba tena darasa la saba huwa napunguza vitabu nikiona begi limezidi uzito, mtoto asiporudi kula mchana, wanawauliza walimu kulikoni,
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Baba kazini.
Mama kazini.
Mtoto kaziniπŸ˜„πŸ˜„.

Unashangaa shule inatoza ada mpaka 3mln ila imeshindwa kuweka kiwango sahihi cha mtoto kufika shule,mtoto wako,hela zako na ananyooshwa.
 
Unakuta dogo anakaa mbezi au kibamba halafu anasoma bunge au olympio nyie!![emoji15] Duuh
Mtoto anakaa kibada...
Anasoma Filbert Bayi kimaraaa...!!!
Ili afike inampasa apande gari 2+panton!!
Sasa jiulize atoke saa ngap ili awah daah
 
Kosa ni la nani? Mpeleke shule karibu unapoishi. Wazazi lazima wawe na umoja wao shuleni, mabasi yawe mengi yanayowabeba watoto( unakuta skul bus 1 inazunguka kuwachukua wote, ndio mana wengine lazima wawe tayari saa 12 asb)
 
Adui wa mwalimu, ni mwalimu.
 
Umenena Mkuu pia kuna Mabegi wanayobebeshwa hawa watoto ni mizigo...
 
umeongea jambo la msingi sana,ada nalipa mwenyewe halafu mwanangu ateseke nimekataa,kama miaka 4 kanaelekea mi 5,kanasoma chekechea nimemwambia mwalimu muda wa kumfuata saa 2 na nusu!!haamshwi mpaka aamke mwenyew akichelewa kuamka nawaambia wamuache tu,ataenda kesho elimu siyo vita! Gari anapanda Noah naona ni comfotable kidogo!
 


Huyo sasa ndio anaishi. Sio mtoto ale msoto hata hajajitambua wakati kuna nafasi ya kumuepusha na madhila ya Dunia
 
Kimoja kitoto kilikua kizuri Sana ,Kama kiarabu hivi Kila nikitoka zangu chuo nakutana nacho kwenye daladala kimetoka makongo kimechoka Sana kinasoma 4m two. Nyumbani bunju ,Basi tukawamarafiki nikiwahi siti namuachia ikaenda weeeee mwisho nitakuja kuhadithia.
 


Tunasubiri Mkasa
 
Yupo darasa la ngapi mkuu?

Shuleni hamna lockers?

Awe anabeba safari za somo alilopewa homework pekeee na ufunguo wake?

Kwenye kikao cha wazazi kapendekeze hili.
Nina watoto wawili, mmoja yupo darasa la kwanza na mwingine yupo darasa la tano. Wote wapo shule moja

Ahsante nitaufanyia kazi ushauri wako

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Shule za Bweni zipo shida ya nini si.mtu apeleke bweni tu.Primary zipo kibao na sekondari kibao
Sasa hui ndio ujinga mwingine, mtoto under 15 umpeleke bweni?
Ndio maana siku watu wanalalamika vijana hawana upendo kwa wazazi wao, upendo utoke wapi kama jukumu na kulea unawaachia walimu na matron, hajuja bond hapo.
Ni ujinga wa kiwango cha juu mtoto mdogo kumpeleka boarding. Kuna mambo mengi wanapitia huko boarding ambayo hutokaa uyafahamu.
 
Ndio maana nawaambia kila siku toeni watoto wenu shule za EM muwarudishe Kayumba. Acheni kuji stress na kuwa stress bure watoto wenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…