Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #61
Ndio maana nawaambia kila siku toeni watoto wenu shule za EM muwarudishe Kayumba. Acheni kuji stress na kuwa stress bure watoto wenu
Wape elimu hao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana nawaambia kila siku toeni watoto wenu shule za EM muwarudishe Kayumba. Acheni kuji stress na kuwa stress bure watoto wenu
Hutaki adadavue?Ujumbe wako mzuri jitahidi uwe unaandika kwa ufupi
Nakumbuka babu yangu alikua haturuhusu kuangalia tv zaidi ya saa 3. Ikifika saa 3 usiku wanafunzi wote kulala.
Ila siku hizi madogo eti wanaangalia katuni na tamthilia hadi saa 5 au 6 usiku, asubuhi saa 11 aamke aandaliwe kwenda kupanda school bus.
Wazazi wanafanya watoro wasiishi utoto wao, mzazi anashirikiana na mtoto wake under 10 yrs kuangalia tamthilia za mapenzi hadi saa 5 usiku, mtoto anaanza kua addicted na matamthilia hayo, yanamtesa maana yeye ni mtoto ni ngumu kucontrol hisia zake.
Very good article Robert Heriel Mtibeli
una hoja
japo sijasoma huu uzi
Acha makasiriko kisa unaona magari ya shule yakipita mtaani kuchukuwa watoto wa wenzako huku wako akichabanga kwenda shule!
Hii ni point.Sasa hui ndio ujinga mwingine, mtoto under 15 umpeleke bweni?
Ndio maana siku watu wanalalamika vijana hawana upendo kwa wazazi wao, upendo utoke wapi kama jukumu na kulea unawaachia walimu na matron, hajuja bond hapo.
Ni ujinga wa kiwango cha juu mtoto mdogo kumpeleka boarding. Kuna mambo mengi wanapitia huko boarding ambayo hutokaa uyafahamu.
Hata mimi anakuja na diary na daftari la homework mengine waanacha shuleMi ningemzuia, shule asomayo dogo, yeye anakuja na daftari la homework tu, mengine wanaacha shule
Simplistic.Acha makasiriko kisa unaona magari ya shule yakipita mtaani kuchukuwa watoto wa wenzako huku wako akichabanga kwenda shule!
Nakutana na mtotot mdogo kamshika mkono mwenzie wanapanda daladala...muhimbili hiyo. Unawauliza wanaishia wapi wanajibu gongo LA mboto..
Sasa najiuliza hiyo mzazi hakuona shule huko gomz au mamia ya shule zote hayafundishi vema hadi amlete muhimbili..hawa watoto asubuhi wanaamka SAA ngapi ili wafike shule kabla ya SAA mbili kuepuka adhabu?
Yani mzazi upo na amani tu mtoto wa miaka 10 anahangaika kuvuka mataa mjini kila siku agombanie daladala mwenyewe?
Na tamthilia nyingi mno hivi sasa ni za mapenzi.Hatari sana.
Alafu hayo matamtihilia yanaamjengea mtoto ulimwengu wa uongouongo katika akili yake