Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
- Thread starter
- #41
fafanua jinsia yake mpwa usihofu ndio ukubwa huu akuja na meli kitanda kilihuxunika fahari yake ukafaidi binadamu
mmh Doctor pdidy....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
fafanua jinsia yake mpwa usihofu ndio ukubwa huu akuja na meli kitanda kilihuxunika fahari yake ukafaidi binadamu
Kama maziwa hanywi nayo jaribu kumbadilishia aina ya maziwa..kumbuka sio mazezeta wote walizaliwa hivyo wengine walikosa virutubisho muhimu utototni mwao...usiogope mpwa najaribu kuondoa mazingira ya wewe kusikitika..hamia lactogen 2
Wapendwa naombeni mnisaidie katika hili, huyu mtoto ashanichosha ana miezi minne tu ila hataki kabisa kunyonya, alianza kama miezi miwili hivi ikabidi wa tatu nianze kumpa maziwa ya fomula ila sasa naona kawa too much siku nzima hajaonja hata tone yupo bize ananyonya kidole tu...hapa namuona ana njaa kabisa make kanahemea juu juu ila nkikapa nyonyo ndo kwanza kanalia...nmechoka kukabembeleza hadi nasikia hasira kangekua kakubwa ngekapa hata vibao viwili tu vya makalio!!!!
Msaada plzzz nifanyeje???
cc: Karucee, King'ast, gorgeousmimi, geniveros na kina mama wote...
Kina baba na nyie nmewamention moyoni
Acha tu nlijaribu kila njia hadi tuviboko ha ha haPole mwalimu, umeshindwa kumfundisha mtoto kunyonya, hebu mchape kidogo......joking,,,:smile-big::smile-big:
Anyway huwa inatokea kwa baadhi ya watoto kukataa kunyonya, so solution ni kumkamulia maziwa na kumnywesha kwa kijiko, kwa vile umeshamanzishia hayo ya kopo aendelee na hayo ya kopo, kama kukamua huwezi ndio umuachishe tu lkn pia mtengenezee uji wa lishe lakini uwe mwepesi sana asije akashindwa kujisaidia mtoto wetu
Kwa wale wote wenye shida kama hii jaribuni kufanya yafuatayo, mara nyingi mtoto ananyonya kwa kutumia reflexes (sucking reflex) chanzo kikubwa cha mtoto kuanza kunyonya ni kusikia/kunusa halafu ya maziwa ya mama yake kifuani, kwenye ngozi na kwenye nguo za mama yake. Halufu hii ya mama na maziwa pia anaitumia katika kumjua mama yake na kumtofautisha na watu wengine around hata ikiwa gizani. Akina mama wanaonyesha na kujipulizia pafyumu mwilini, dawa za nywele zenye harufu na kujipakaa lotion mwili huwa wanawafanya watoto wao wasiweze kunusa na kutambua harufu ya maziwa na harufu ya ngozi na mavazi ya mama zao, hivyo kusababisha sucking reflex kupotea kabisa na kushindindwa hata kumtofautisha mama na watu wengine, hatimaye anaacha kunyonya na kubebwa na mtu yeyote yule bila kulia. Acheni kujipuliza sana manukato kama mnanyonyesha ili kuepuka janga hili. dawa nyingine mnazopaka kwenye ngozi zina raadha mbaya kama mtoto ataziramba.Wapendwa naombeni mnisaidie katika hili, huyu mtoto ashanichosha ana miezi minne tu ila hataki kabisa kunyonya, alianza kama miezi miwili hivi ikabidi wa tatu nianze kumpa maziwa ya fomula ila sasa naona kawa too much siku nzima hajaonja hata tone yupo bize ananyonya kidole tu...hapa namuona ana njaa kabisa make kanahemea juu juu ila nkikapa nyonyo ndo kwanza kanalia...nmechoka kukabembeleza hadi nasikia hasira kangekua kakubwa ngekapa hata vibao viwili tu vya makalio!!!!
Msaada plzzz nifanyeje???
cc: Karucee, King'ast, gorgeousmimi, geniveros na kina mama wote...
Kina baba na nyie nmewamention moyoni
Pozi zake tu nahisi, na kwakua ananyonya kidole nahisi nacho kilimzuzuaau ulimwangalia vibaya na kumsema vibaya coz hu sens na kususa
Ujue viroba vinafanya maziwa yawe mazito tehUnakesha unakunywa viroba maziwa yanakuwa na ladha ya konyagi mtoto atanyonyaje
I guess ni mvivu tu wa kunyonya, make hata zile nyonyo za plastic hataki kitu chochote cha kunyonya hataki nampa maziwa kwa kijikoKwa wale wote wenye shida kama hii jaribuni kufanya yafuatayo, mara nyingi mtoto ananyonya kwa kutumia reflexes (sucking reflex) chanzo kikubwa cha mtoto kuanza kunyonya ni kusikia/kunusa halafu ya maziwa ya mama yake kifuani, kwenye ngozi na kwenye nguo za mama yake. Halufu hii ya mama na maziwa pia anaitumia katika kumjua mama yake na kumtofautisha na watu wengine around hata ikiwa gizani. Akina mama wanaonyesha na kujipulizia pafyumu mwilini, dawa za nywele zenye harufu na kujipakaa lotion mwili huwa wanawafanya watoto wao wasiweze kunusa na kutambua harufu ya maziwa na harufu ya ngozi na mavazi ya mama zao, hivyo kusababisha sucking reflex kupotea kabisa na kushindindwa hata kumtofautisha mama na watu wengine, hatimaye anaacha kunyonya na kubebwa na mtu yeyote yule bila kulia. Acheni kujipuliza sana manukato kama mnanyonyesha ili kuepuka janga hili. dawa nyingine mnazopaka kwenye ngozi zina raadha mbaya kama mtoto ataziramba.
Acha tu nlijaribu kila njia hadi tuviboko ha ha ha
nilikamua knikaona yanapungua tu akatangaza official mgomo akiwa na miezi 4 tu
basi tena nkamuacha, I thank God yupo poa sahivi anakula kila kitu hadi mahindi ya kuchoma lol
Hanyonyi tena mamy aliacha na maziwa yashakaukaSio mvivu anakua ajui mzoeshe tu
Kama unakaa nae muda wote wanakuaga ving'ang'anizi hao, teh mpige exile kama bibi ake yupo karibu mpeleke akakae hata siku tatu....mim mtoto wangu ana miaka miwili naomben
i njia za kumwachisha kunyonya maana ananyonya sana vilevile anakula vzr sasa natamani aache kunyonya
DuuhWapendwa naombeni mnisaidie katika hili, huyu mtoto ashanichosha ana miezi minne tu ila hataki kabisa kunyonya, alianza kama miezi miwili hivi ikabidi wa tatu nianze kumpa maziwa ya fomula ila sasa naona kawa too much siku nzima hajaonja hata tone yupo bize ananyonya kidole tu...hapa namuona ana njaa kabisa make kanahemea juu juu ila nkikapa nyonyo ndo kwanza kanalia...nmechoka kukabembeleza hadi nasikia hasira kangekua kakubwa ngekapa hata vibao viwili tu vya makalio!!!!
Msaada plzzz nifanyeje???
cc: Karucee, King'ast, gorgeousmimi, geniveros na kina mama wote...
Kina baba na nyie nmewamention moyoni
mim mtoto wangu ana miaka miwili naomben
i njia za kumwachisha kunyonya maana ananyonya sana vilevile anakula vzr sasa natamani aache kunyonya
Kama unakaa nae muda wote wanakuaga ving'ang'anizi hao, teh mpige exile kama bibi ake yupo karibu mpeleke akakae hata siku tatu....
watoto wa siku hizi hawaogopi pilipili, alovera wala mdudu tena walivo na akili anangoja utoke bafuni anajua muda huo nyonyo swafi kabisa hata kama ilipakwa kitu basi muda huo imeoshwa, mpige exile