Mtoto hataki kunyonya

Mtoto hataki kunyonya

Kama maziwa hanywi nayo jaribu kumbadilishia aina ya maziwa..kumbuka sio mazezeta wote walizaliwa hivyo wengine walikosa virutubisho muhimu utototni mwao...usiogope mpwa najaribu kuondoa mazingira ya wewe kusikitika..hamia lactogen 2

ha ha ha eeh haya pdidy ahsante
 
Watt wengine huwa wanakataa kunyonyo akikataa inabidi ale vyakula vingine km uji
 
Wapendwa naombeni mnisaidie katika hili, huyu mtoto ashanichosha ana miezi minne tu ila hataki kabisa kunyonya, alianza kama miezi miwili hivi ikabidi wa tatu nianze kumpa maziwa ya fomula ila sasa naona kawa too much siku nzima hajaonja hata tone yupo bize ananyonya kidole tu...hapa namuona ana njaa kabisa make kanahemea juu juu ila nkikapa nyonyo ndo kwanza kanalia...nmechoka kukabembeleza hadi nasikia hasira kangekua kakubwa ngekapa hata vibao viwili tu vya makalio!!!!

Msaada plzzz nifanyeje???
cc: Karucee, King'ast, gorgeousmimi, geniveros na kina mama wote...
Kina baba na nyie nmewamention moyoni

Pole mwalimu, umeshindwa kumfundisha mtoto kunyonya, hebu mchape kidogo......joking,,,:smile-big::smile-big:
Anyway huwa inatokea kwa baadhi ya watoto kukataa kunyonya, so solution ni kumkamulia maziwa na kumnywesha kwa kijiko, kwa vile umeshamanzishia hayo ya kopo aendelee na hayo ya kopo, kama kukamua huwezi ndio umuachishe tu lkn pia mtengenezee uji wa lishe lakini uwe mwepesi sana asije akashindwa kujisaidia mtoto wetu
 
Acha tu nlijaribu kila njia hadi tuviboko ha ha ha
nilikamua knikaona yanapungua tu akatangaza official mgomo akiwa na miezi 4 tu
basi tena nkamuacha, I thank God yupo poa sahivi anakula kila kitu hadi mahindi ya kuchoma lol
 
  • Thanks
Reactions: ram
Wapendwa naombeni mnisaidie katika hili, huyu mtoto ashanichosha ana miezi minne tu ila hataki kabisa kunyonya, alianza kama miezi miwili hivi ikabidi wa tatu nianze kumpa maziwa ya fomula ila sasa naona kawa too much siku nzima hajaonja hata tone yupo bize ananyonya kidole tu...hapa namuona ana njaa kabisa make kanahemea juu juu ila nkikapa nyonyo ndo kwanza kanalia...nmechoka kukabembeleza hadi nasikia hasira kangekua kakubwa ngekapa hata vibao viwili tu vya makalio!!!!

Msaada plzzz nifanyeje???
cc: Karucee, King'ast, gorgeousmimi, geniveros na kina mama wote...
Kina baba na nyie nmewamention moyoni
Kwa wale wote wenye shida kama hii jaribuni kufanya yafuatayo, mara nyingi mtoto ananyonya kwa kutumia reflexes (sucking reflex) chanzo kikubwa cha mtoto kuanza kunyonya ni kusikia/kunusa halafu ya maziwa ya mama yake kifuani, kwenye ngozi na kwenye nguo za mama yake. Halufu hii ya mama na maziwa pia anaitumia katika kumjua mama yake na kumtofautisha na watu wengine around hata ikiwa gizani. Akina mama wanaonyesha na kujipulizia pafyumu mwilini, dawa za nywele zenye harufu na kujipakaa lotion mwili huwa wanawafanya watoto wao wasiweze kunusa na kutambua harufu ya maziwa na harufu ya ngozi na mavazi ya mama zao, hivyo kusababisha sucking reflex kupotea kabisa na kushindindwa hata kumtofautisha mama na watu wengine, hatimaye anaacha kunyonya na kubebwa na mtu yeyote yule bila kulia. Acheni kujipuliza sana manukato kama mnanyonyesha ili kuepuka janga hili. dawa nyingine mnazopaka kwenye ngozi zina raadha mbaya kama mtoto ataziramba.
 
au ulimwangalia vibaya na kumsema vibaya coz hu sens na kususa
 
Unakesha unakunywa viroba maziwa yanakuwa na ladha ya konyagi mtoto atanyonyaje
 
Kwa wale wote wenye shida kama hii jaribuni kufanya yafuatayo, mara nyingi mtoto ananyonya kwa kutumia reflexes (sucking reflex) chanzo kikubwa cha mtoto kuanza kunyonya ni kusikia/kunusa halafu ya maziwa ya mama yake kifuani, kwenye ngozi na kwenye nguo za mama yake. Halufu hii ya mama na maziwa pia anaitumia katika kumjua mama yake na kumtofautisha na watu wengine around hata ikiwa gizani. Akina mama wanaonyesha na kujipulizia pafyumu mwilini, dawa za nywele zenye harufu na kujipakaa lotion mwili huwa wanawafanya watoto wao wasiweze kunusa na kutambua harufu ya maziwa na harufu ya ngozi na mavazi ya mama zao, hivyo kusababisha sucking reflex kupotea kabisa na kushindindwa hata kumtofautisha mama na watu wengine, hatimaye anaacha kunyonya na kubebwa na mtu yeyote yule bila kulia. Acheni kujipuliza sana manukato kama mnanyonyesha ili kuepuka janga hili. dawa nyingine mnazopaka kwenye ngozi zina raadha mbaya kama mtoto ataziramba.
I guess ni mvivu tu wa kunyonya, make hata zile nyonyo za plastic hataki kitu chochote cha kunyonya hataki nampa maziwa kwa kijiko
 
Acha tu nlijaribu kila njia hadi tuviboko ha ha ha
nilikamua knikaona yanapungua tu akatangaza official mgomo akiwa na miezi 4 tu
basi tena nkamuacha, I thank God yupo poa sahivi anakula kila kitu hadi mahindi ya kuchoma lol

Nimecheka balaa, huyo mtoto anakula hadi mahindi ya kuchoma, basi yuko vizuri
 
mim mtoto wangu ana miaka miwili naomben
i njia za kumwachisha kunyonya maana ananyonya sana vilevile anakula vzr sasa natamani aache kunyonya
 
Kama unakaa nae muda wote wanakuaga ving'ang'anizi hao, teh mpige exile kama bibi ake yupo karibu mpeleke akakae hata siku tatu....
watoto wa siku hizi hawaogopi pilipili, alovera wala mdudu tena walivo na akili anangoja utoke bafuni anajua muda huo nyonyo swafi kabisa hata kama ilipakwa kitu basi muda huo imeoshwa, mpige exile
 
Wapendwa naombeni mnisaidie katika hili, huyu mtoto ashanichosha ana miezi minne tu ila hataki kabisa kunyonya, alianza kama miezi miwili hivi ikabidi wa tatu nianze kumpa maziwa ya fomula ila sasa naona kawa too much siku nzima hajaonja hata tone yupo bize ananyonya kidole tu...hapa namuona ana njaa kabisa make kanahemea juu juu ila nkikapa nyonyo ndo kwanza kanalia...nmechoka kukabembeleza hadi nasikia hasira kangekua kakubwa ngekapa hata vibao viwili tu vya makalio!!!!

Msaada plzzz nifanyeje???
cc: Karucee, King'ast, gorgeousmimi, geniveros na kina mama wote...
Kina baba na nyie nmewamention moyoni
Duuh
 
Back
Top Bottom