Mtoto kulelewa na mama wa kambo Vs kulelewa na Bibi yake

Mtoto kulelewa na mama wa kambo Vs kulelewa na Bibi yake

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,943
Reaction score
37,839
Umeachana na.mkeo au babymama wako ULIE kuwa unaishi nae kinyumba au amefariki dunia na amekuacha na watoto wenye umri wa miaka 3 Hadi 5.

Wewe kama Baba utachagua option ipi?

1. Watoto wako.uwapeleke Kijijini/ mkoani WAKALELEWE na mama ako au

2. Uoe mwanamke mwingine au uvute ndani mwanamke mwingine aje awe mama WA kambo wa watoto wako?

U have only two options.

My take:
Mimi.nita prefer kuoa mwanamke mwingine au kuvuta mwanamke mwingine.

Sababu Zangu
1. Nitapata nafasi na wasaa wa kuwalea wanangu Kwa ukaribu.

2. Pamoja na kwamba changamoto za kulea watoto na mama WA kambo NI nyingi na ngumu but at the end of the day most of the time watoto wanao lelewaga na mama WA kambo huwa wanakuwaga descplined sana na wengi wao wanafanikiwa katika maisha..Nadhani hapa ndo ulipozaliwa msemo maarufu wa kwenye Bajaji " mtoto alie lelewa na mama WA kambo hawezi kufeli maisha'.

Kwanini asilelewe na Bibi yake?
1. Bibi wanawapenda sana wajukuu zao na watoto kupendwa kupita kiasi ndio chanzo cha kuharibikiwa.

2. Bibi alikulea wewe ukiwa mdogo sasa NI wakati wake wa kupumzika watoto waende kumsalimia Tu .

What do you think?
 
Kama unataka mwanao awe na 'discipline' kwa malezi ya mama wa kambo siumnyanyase mwenyewe tu???
Nope sijasema.hiyo ndio sababu pekee but nimesema it's beta alelewe na mama.wa.kambo plus u kuliko kumuacha Kwa Bibi yake. And sio mama.wa.kambo wote Wana tabia za kishenzi
 
Mwiko mwanangu kulelewa na Mama wa kambo kama mama Yale bado nipo hai.neshuhudia matukio mengi wacha ya kusimuliwa.

Baba Hana muda wa kulea mtoto muda no mchache sana
 
Mimi niko pamoja na mreta mada ila umetubania ka picha buana uzi bila kapicha ni majanga makubwa .. Ila kama unataka unafuu wq maisha wapeleke kijijin kwa baba na mama ako wakulelee
 
Inategemea na mwanamke na mwanamke. Wanawake wengine wana upendo haijalishi kama mtoto sio wake atamlea kama wake ila wengine ni noma anaweza hata kumuua.

Ila kama ni mimi namlea mwenyewe kibachela.
 
Inategemea kuna wa Mama wa kambo wanaupendo sana siyo wote wana roho mbaya.
 
Back
Top Bottom