Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,958
- 183,574
Wacha bwana!!Unafikiri hii ishu tuichukulie km kabaki Bibi peke yake, Na km inawezekana wabebe wooote mkuu waje mjini hakuna ubaya.
Wacha bwana!!Unafikiri hii ishu tuichukulie km kabaki Bibi peke yake, Na km inawezekana wabebe wooote mkuu waje mjini hakuna ubaya.
Wacha bwana!!
Nawaza tu huko kijijini wanakuwa hawana shughuli zao? Na kwa nature ya wazazi wetu wengi hawapendi kuishi mjini(tena waishi na wewe)Hawastahili kukaa nawe town
Nawaza tu huko kijijini wanakuwa hawana shughuli zao? Na kwa nature ya wazazi wetu wengi hawapendi kuishi mjini(tena waishi na wewe)
Huko ni kuwakosesha uhuru wao, unless unawajengea na kuwahamishia mazima mjini(jambo ambalo nahofu pia kama watakubaliana nalo)
Jamani[emoji23][emoji134]Hao wasiopenda kuishi nawe labda wawe na uwezo kidogo, wazee hoehae thubutu nani atakataa kukoga kwa sabuni.
Jamani[emoji23][emoji134]