Mtoto kushinda akitazama Televisheni siku nzima ni sahihi?

Catha96

Member
Joined
Jun 29, 2021
Posts
54
Reaction score
70
Umofya wana JF,

Mtoto kushinda kwenye TV asubuhi mchana hata jioni yupo kwenye TV ni sawa sawa? Wengine wanasema inasaidia kumpa mtoto exposure wengine wanadai watoto wanajifunza lugha na michezo mbali mbali inayoongeza ujuzi wao, wegine wanapinga sio kitu kizuri.

Je, kipi ni kipi? Tusaidiane tafadhali

Nawasilisha.

1644490850201.png
 
Anaangaliaje tv asubuhi mchana na jioni kwani shule hasomi na pia hiyo Tv umenunua ili isonge ugali au si ni kwa ajili ya kutazamwa muache dogo bhana[emoji23][emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mkuu naona maoni yako yamegonga kotekote kama msumen , umemtetea dogo pia umemkanya mzazi.

Angalizo: ateue mda wa kuwasha tv
 
Tv Bila uangalizi ni kama Unaiachia Dunia imlee mwanao, utampoteza.

Cha muhimu hakikisha anaangalia vitu vya age yake tu tena kwa uangalizi. Mfano unaweza ukamuachia youtube kids (sio ya wakubwa) na ukaseti miaka yake, kwa muda fulani, Asiangalie tu muda wote. Hakikisha ana socialize na wenzake pia na anacheza kama watoto wengine.
 
Anaangaliaje tv asubuhi mchana na jioni kwani shule hasomi na pia hiyo Tv umenunua ili isonge ugali au si ni kwa ajili ya kutazamwa muache dogo bhana[emoji23][emoji23]
Kwa hii komenti yako tuseme ni chai au..?😂
 
Sio sahihi kwanza si jambo jema kwa afya ya macho,si mtoto tu hata kwa mtu mzima sio sahihi,

Mtoto apate muda wa kucheza na wenzake ili kuchangamsha mwili wake,mpe daftari aandike atakacho au hata achore michoro,kila jambo lina utaratibu wake na muda wake,mtoto usimbane sana wala usimuachie sana,

Kumbuka Mtoto umleavyo ndio akuavyo,anza sasa kabla hujachelewa.
 
Umofya wana JF,

Mtoto kushinda kwenye TV asubuhi mchana hata jioni yupo kwenye TV ni sawa sawa? Wengine wanasema inasaidia kumpa mtoto exposure wengine wanadai watoto wanajifunza lugha na michezo mbali mbali inayoongeza ujuzi wao, wegine wanapinga sio kitu kizuri.

Je, kipi ni kipi? Tusaidiane tafadhali

Nawasilisha.

Naishi ghorofa ya saba (apartment) mtoto akitoka shule hana pakwenda kutazama TV ndio salama yake.
 
Uko sahihi sasa hivi watoto wengi wanavaa miwani uoni wao shida shauri ya kushinda kwenye tv
 
Naishi ghorofa ya saba (apartment) mtoto akitoka shule hana pakwenda kutazama TV ndio salama yake.
Tafuta nyumba ingine rafiki kwa makuzi ya mtoto achana na ubinafsi wako wa kuishi apartment

Makuzi ya mtoto muhimu kuliko ubinafsi wako wa kukomalia kuishi huko kwenye ghorofa ya saba ya apartment
 
sio sawa kwa mtu yoyote au kitu chochote kushinda siku nzima anafanya kitu kilekile awe mtoto, mzee au kijana
 
Tv Bila uangalizi ni kama Unaiachia Dunia imlee mwanao, utampoteza.

Cha muhimu hakikisha anaangalia vitu vya age yake tu tena kwa uangalizi. Mfano unaweza ukamuachia youtube kids (sio ya wakubwa) na ukaseti miaka yake, kwa muda fulani, Asiangalie tu muda wote. Hakikisha ana socialize na wenzake pia na anacheza kama watoto wengine.
Ushauri bora kabisa huu.
 
Sio sahihi kwanza si jambo jema kwa afya ya macho,si mtoto tu hata kwa mtu mzima sio sahihi,

Mtoto apate muda wa kucheza na wenzake ili kuchangamsha mwili wake,mpe daftari aandike atakacho au hata achore michoro,kila jambo lina utaratibu wake na muda wake,mtoto usimbane sana wala usimuachie sana,

Kumbuka Mtoto umleavyo ndio akuavyo,anza sasa kabla hujachelewa.
Hi ni sahihi kabisa Mkuu,

Imagine mtoto wa miaka 3 anashinda kwa Tv zaidi ya masaa 3 kwa siku then akitoka hapo mama ake anampatia simu aangalie vichekesho.

Huyu akifikisha miaka 13 miwani ya macho hawezi ikwepa pia inampunguzia uwezo wa afya ya mwili na akili.
 
Umofya wana JF,

Mtoto kushinda kwenye TV asubuhi mchana hata jioni yupo kwenye TV ni sawa sawa? Wengine wanasema inasaidia kumpa mtoto exposure wengine wanadai watoto wanajifunza lugha na michezo mbali mbali inayoongeza ujuzi wao, wegine wanapinga sio kitu kizuri.

Je, kipi ni kipi? Tusaidiane tafadhali

Nawasilisha.

Tv ni sehemu nzuri ya kuwabrainwash binadamu, siyo tu watoto.

Hata movies na programs nyingi za kwenye tv maarufu za Hollywood na mengine, malengo makubwa ni kushawishi akili ya binadamu katika mambo ambayo wenye nia ovu wanataka uelekee.

The same is mainstream media, usipokuwa makini unakuta unaanza kuamini katika mambo ambayo kwa akili ya kawaida usingeamini
 
Umofya wana JF,

Mtoto kushinda kwenye TV asubuhi mchana hata jioni yupo kwenye TV ni sawa sawa? Wengine wanasema inasaidia kumpa mtoto exposure wengine wanadai watoto wanajifunza lugha na michezo mbali mbali inayoongeza ujuzi wao, wegine wanapinga sio kitu kizuri.

Je, kipi ni kipi? Tusaidiane tafadhali

Nawasilisha.

Kwangu mimi mtoto kukaa na kuangalia Tv kwa muda mrefu ni ujinga wa kisasa. Japo usimnyime wasaa mchache wa kuangalia vipindi vyenye maudhui chanya.

Tv ina muda na umuhimu wake tena kwa vipindi vinavyomjenga mtoto ama kumburudisha kwa maudhui yake. Hizi bongo muvi, sijui music video za hawa wasanii wakukaa uchi uchi ni marufuku mtoto kuangalia.

Ni vyema mtoto akapata nafasi ya kujichanganya na wenzake, hii humsaidia kupunguza kiwango cha ubinafsi.

Wa kwangu nimemfunza mara zote nikimnunulia kitu cha kula akiwa na watoto wenzake ni lazima agawie wote bila kupendelea.

Pia nimemzoesha akiniletea kesi ya kupigwa na mtoto wa rika yake simtetei, nimemfunza kuwa mpole ila kwa watoto wakorofi asiwe mzebe wa kulia lia.

Kwa umri wa miaka 4 alionayo nahakikisha hakui kizembe nyumbani bila kuwa na majukumu madogo anayoyapenda, kuna kuku pale nyumbani sasa nimemdanganyishia kuwa ni wakwake hakika hii imemsaidia kwa kiasi kikubwa kuwa alert sana kwa kuonesha uwajibikaji japo inafurahisha kidogo kwa umri wake, hadi muda mwingine unakuta yupo ndani asisikie tu nje kuku wanalia kwa sauti ya juu dogo atakwambia ngoja nikaangalie kuku wangu.
 
Wanaume wote wangekuwa baba Bora km wewe hakika jamii zetu zingefaidika sio siri hata nimetamani tungekuwa ndugu
 
Back
Top Bottom