[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mkuu naona maoni yako yamegonga kotekote kama msumen , umemtetea dogo pia umemkanya mzazi.Anaangaliaje tv asubuhi mchana na jioni kwani shule hasomi na pia hiyo Tv umenunua ili isonge ugali au si ni kwa ajili ya kutazamwa muache dogo bhana[emoji23][emoji23]
Kwa hii komenti yako tuseme ni chai au..?😂Anaangaliaje tv asubuhi mchana na jioni kwani shule hasomi na pia hiyo Tv umenunua ili isonge ugali au si ni kwa ajili ya kutazamwa muache dogo bhana[emoji23][emoji23]
Labda kama dogo bado hajaanza shule[emoji23][emoji23]Kwa hii komenti yako tuseme ni chai au..?[emoji23]
Kabisa mkuu[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mkuu naona maoni yako yamegonga kotekote kama msumen , umemtetea dogo pia umemkanya mzazi.
Angalizo: ateue mda wa kuwasha tv
Umofya wana JF,
Mtoto kushinda kwenye TV asubuhi mchana hata jioni yupo kwenye TV ni sawa sawa? Wengine wanasema inasaidia kumpa mtoto exposure wengine wanadai watoto wanajifunza lugha na michezo mbali mbali inayoongeza ujuzi wao, wegine wanapinga sio kitu kizuri.
Je, kipi ni kipi? Tusaidiane tafadhali
Nawasilisha.
Uko sahihi sasa hivi watoto wengi wanavaa miwani uoni wao shida shauri ya kushinda kwenye tvSio sahihi kwanza si jambo jema kwa afya ya macho,si mtoto tu hata kwa mtu mzima sio sahihi,
Mtoto apate muda wa kucheza na wenzake ili kuchangamsha mwili wake,mpe daftari aandike atakacho au hata achore michoro,kila jambo lina utaratibu wake na muda wake,mtoto usimbane sana wala usimuachie sana,
Kumbuka Mtoto umleavyo ndio akuavyo,anza sasa kabla hujachelewa.
Tafuta nyumba ingine rafiki kwa makuzi ya mtoto achana na ubinafsi wako wa kuishi apartmentNaishi ghorofa ya saba (apartment) mtoto akitoka shule hana pakwenda kutazama TV ndio salama yake.
Ushauri bora kabisa huu.Tv Bila uangalizi ni kama Unaiachia Dunia imlee mwanao, utampoteza.
Cha muhimu hakikisha anaangalia vitu vya age yake tu tena kwa uangalizi. Mfano unaweza ukamuachia youtube kids (sio ya wakubwa) na ukaseti miaka yake, kwa muda fulani, Asiangalie tu muda wote. Hakikisha ana socialize na wenzake pia na anacheza kama watoto wengine.
Hi ni sahihi kabisa Mkuu,Sio sahihi kwanza si jambo jema kwa afya ya macho,si mtoto tu hata kwa mtu mzima sio sahihi,
Mtoto apate muda wa kucheza na wenzake ili kuchangamsha mwili wake,mpe daftari aandike atakacho au hata achore michoro,kila jambo lina utaratibu wake na muda wake,mtoto usimbane sana wala usimuachie sana,
Kumbuka Mtoto umleavyo ndio akuavyo,anza sasa kabla hujachelewa.
Umofya wana JF,
Mtoto kushinda kwenye TV asubuhi mchana hata jioni yupo kwenye TV ni sawa sawa? Wengine wanasema inasaidia kumpa mtoto exposure wengine wanadai watoto wanajifunza lugha na michezo mbali mbali inayoongeza ujuzi wao, wegine wanapinga sio kitu kizuri.
Je, kipi ni kipi? Tusaidiane tafadhali
Nawasilisha.
Kwangu mimi mtoto kukaa na kuangalia Tv kwa muda mrefu ni ujinga wa kisasa. Japo usimnyime wasaa mchache wa kuangalia vipindi vyenye maudhui chanya.Umofya wana JF,
Mtoto kushinda kwenye TV asubuhi mchana hata jioni yupo kwenye TV ni sawa sawa? Wengine wanasema inasaidia kumpa mtoto exposure wengine wanadai watoto wanajifunza lugha na michezo mbali mbali inayoongeza ujuzi wao, wegine wanapinga sio kitu kizuri.
Je, kipi ni kipi? Tusaidiane tafadhali
Nawasilisha.
Wanaume wote wangekuwa baba Bora km wewe hakika jamii zetu zingefaidika sio siri hata nimetamani tungekuwa nduguKwangu mimi mtoto kukaa na kuangalia Tv kwa muda mrefu ni ujinga wa kisasa. Japo usimnyime wasaa mchache wa kuangalia vipindi vyenye maudhui chanya.
Tv ina muda na umuhimu wake tena kwa vipindi vinavyomjenga mtoto ama kumburudisha kwa maudhui yake. Hizi bongo muvi, sijui music video za hawa wasanii wakukaa uchi uchi ni marufuku mtoto kuangalia.
Ni vyema mtoto akapata nafasi ya kujichanganya na wenzake, hii humsaidia kupunguza kiwango cha ubinafsi.
Wa kwangu nimemfunza mara zote nikimnunulia kitu cha kula akiwa na watoto wenzake ni lazima agawie wote bila kupendelea.
Pia nimemzoesha akiniletea kesi ya kupigwa na mtoto wa rika yake simtetei, nimemfunza kuwa mpole ila kwa watoto wakorofi asiwe mzebe wa kulia lia.
Kwa umri wa miaka 4 alionayo nahakikisha hakui kizembe nyumbani bila kuwa na majukumu madogo anayoyapenda, kuna kuku pale nyumbani sasa nimemdanganyishia kuwa ni wakwake hakika hii imemsaidia kwa kiasi kikubwa kuwa alert sana kwa kuonesha uwajibikaji japo inafurahisha kidogo kwa umri wake, hadi muda mwingine unakuta yupo ndani asisikie tu nje kuku wanalia kwa sauti ya juu dogo atakwambia ngoja nikaangalie kuku wangu.