Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,008
- 17,480
He or she is a chattered idiot....I think he or she is after popularity than a real legal battle.
He or she is a chattered idiot....I think he or she is after popularity than a real legal battle.
Kweli kabisa hii hoja ina mashiko! Hawakumuita kimbelembele chake kutaka kuchungulia starehe za watu! Hahahah!Wao walipaswa kumuuliza kwanini alikuja wakati wao walikuwa kwenye starehe zao kwani walimuita?
Sent using Jamii Forums mobile app
Si wangetumia kinga? Walitegemea wapande mbegu shamban halafu isiote? Bado wana kesi ya kujibu.Kweli kabisa hii hoja ina mashiko! Hawakumuita kimbelembele chake kutaka kuchungulia starehe za watu! Hahahah!
Inaelekea huyo mtoto hajaujua ule usemi usemao (No retreat no surrender)Kijana mmoja Uingereza anakusudia kuwashitaki wazazi wake. Hoja yake ya msingi ni kwanini walimleta kwenye hii dunia yenye shida na mateso kwa starehe zao? Wao kwa starehe zao za mapenzi kwanini wamlete duniani? Nadhani wazazi wana kesi ya kujibu!
Kweli kabisa wazazi wana kesi ya kujibu! HahahahhSi wangetumia kinga? Walitegemea wapande mbegu shamban halafu isiote? Bado wana kesi ya kujibu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kisayansi mbegu za mwanaume zinazotoka kurutubisha yai la mwanamke huwa ni nyingi mno! Millions of sperms lakini ni moja tu (mara nyingi) tena yenye kimbelembele ya kujifanya inajua kuogelea na ina nguvu kuliko nyenzake ndo ulirutubisha! Watamuuliza si angetegea nyenzake zikarutubisha? Kwani ilikuwa lazima awe ni wewe? Huenda Mungu alijua kutatokea wanadamu wa kuhoji kuzaliwa ndo maana akawa anatoa nyingi ili zishindane ambaye hataki aache na ikitokea ukazaliwa usije kuhoji!Kiherehere chake ndio kilimfanya aje duniani. Atulie.
Ndio atulie sasa na kiherehere chake 😅Kisayansi mbegu za mwanaume zinazotoka kurutubisha yai la mwanamke huwa ni nyingi mno! Millions of sperms lakini ni moja tu (mara nyingi) tena yenye kimbelembele ya kujifanya inajua kuogelea na ina nguvu kuliko nyenzake ndo ulirutubisha! Watamuuliza si angetegea nyenzake zikarutubisha? Kwani ilikuwa lazima awe ni wewe? Huenda Mungu alijua kutatokea wanadamu wa kuhoji kuzaliwa ndo maana akawa anatoa nyingi ili zishindane ambaye hataki aache na ikitokea ukazaliwa usije kuhoji!
Tena akikutana na wakili machachari anaweza kumugeuzia dogo kibao cha kusababisha mauaji ya hizo sperms millions zilizokufa baada ya yeye kurutubisha yai kulikopelekea nyingine zilizobaki kufa! Hahhahhah! Kesi nyingine zikijibiwa kisayansi ni raha!Ndio atulie sasa na kiherehere chake 😅
Tena Kesi apewe shangazi fatma karume hii.Tena akikutana na wakili machachari anaweza kumugeuzia dogo kibao cha kusababisha mauaji ya hizo sperms millions zilizokufa baada ya yeye kurutubisha yai kulikopelekea nyingine zilizobaki kufa! Hahhahhah! Kesi nyingine zikijibiwa kisayansi ni raha!
Kijana mmoja Uingereza anakusudia kuwashitaki wazazi wake. Hoja yake ya msingi ni kwanini walimleta kwenye hii dunia yenye shida na mateso kwa starehe zao? Wao kwa starehe zao za mapenzi kwanini wamlete duniani? Nadhani wazazi wana kesi ya kujibu!
kwa aina ya jibu ulilotoa plus hiyo avatar/ picha ungedhani ni ya Joseph Kony wa LRA ya Uganda
kumbe ni wakili msomi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hataki kujiua, kujiua ni unethical. Tayari ushawekewa mahesabu ya maisha, watu wanakupenda, ukijiua watakukosa.Simple! Kill yourself and you are done.
Utashangaa anawalaumu wazazi kwa kumzaa huku anaogopa kufa ikitokea hatari anasema fasta.