Mtoto kuwashitaki mahakamani wazazi wake kwa kumzaa bila ridhaa yake

Toa hoja ya kupingana na hoja ya mtoto! Hapa mtoto amekuja na hoja ambayo kimantiki ni kuwa kama wazazi hawakuwa na uwezo wa kumtengenezea mazingira kumwezesha afurahie maisha kwanini walimzaa wakati wao (wazazi) walikuwa wanafanya starehe?
Huyo dogo ana hoja,sometimes utasikia watu wakisema eti washukuru wazazi kwa kukuzaa au kukulea kwani niliwaomba wanizae? Kulea nako ni wajibu so long as walitaka wao majukumu ko tusipelekane puta tutaheshimiana tuu
 
Kijana mmoja Uingereza anakusudia kuwashitaki wazazi wake. Hoja yake ya msingi ni kwanini walimleta kwenye hii dunia yenye shida na mateso kwa starehe zao? Wao kwa starehe zao za mapenzi kwanini wamlete duniani? Nadhani wazazi wana kesi ya kujibu!
Wana kesi ya kujibu. Naomba wapigwe rumande wakati upelelezi unaendelea
 
Kijana mmoja Uingereza anakusudia kuwashitaki wazazi wake. Hoja yake ya msingi ni kwanini walimleta kwenye hii dunia yenye shida na mateso kwa starehe zao? Wao kwa starehe zao za mapenzi kwanini wamlete duniani? Nadhani wazazi wana kesi ya kujibu!
Hii itasaidia kupunguza hizi kesi ,kamtu kanavua nguo kwa uasherati na uzinzi na matokeo kanayajua, baadaye inaonekana eti ni bahati mbaya.
 
Kijana mmoja Uingereza anakusudia kuwashitaki wazazi wake. Hoja yake ya msingi ni kwanini walimleta kwenye hii dunia yenye shida na mateso kwa starehe zao? Wao kwa starehe zao za mapenzi kwanini wamlete duniani? Nadhani wazazi wana kesi ya kujibu!
Ukisikia mtu kanywa mchanganyiko wa K Vant, gongo,Vladimir Vodka na kuvuta bangi ndio matokeo yake haya!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom