Toa hoja ya kupingana na hoja ya mtoto! Hapa mtoto amekuja na hoja ambayo kimantiki ni kuwa kama wazazi hawakuwa na uwezo wa kumtengenezea mazingira kumwezesha afurahie maisha kwanini walimzaa wakati wao (wazazi) walikuwa wanafanya starehe?
Huyo dogo ana hoja,sometimes utasikia watu wakisema eti washukuru wazazi kwa kukuzaa au kukulea kwani niliwaomba wanizae? Kulea nako ni wajibu so long as walitaka wao majukumu ko tusipelekane puta tutaheshimiana tuu
Kijana mmoja Uingereza anakusudia kuwashitaki wazazi wake. Hoja yake ya msingi ni kwanini walimleta kwenye hii dunia yenye shida na mateso kwa starehe zao? Wao kwa starehe zao za mapenzi kwanini wamlete duniani? Nadhani wazazi wana kesi ya kujibu!