Wa kwako wanakushinda utawaweza wa kuokotaAise hii dunia,,Huyo mtoto nipeni mimi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wa kwako wanakushinda utawaweza wa kuokotaAise hii dunia,,Huyo mtoto nipeni mimi
Mbona kama ngumu sana hiyo au sijakuelewa Mkuu?Mtoto apimwe DNA waitumie kuwasaka wazazi wake ili wahenyeshwe vizuri.
Kiaje Mtani?Tatizo lilianzia walipovuana baba na mama mtoto
Yaani walipanga kukutana tu kimwiliKiaje Mtani?
Mie huwa ni mzito kuelewa.
Iwe hivi tu...Au atakayetiliwa shaka ndo atafananishwa na hivyo vinasaba?
Ooh! Sawa Mtani.Yaani walipanga kukutana tu kimwili
Hapo sawa Mkuu.Iwe hivi tu...
acha kuchafua watu mkuu. nasib ana beba ujauzito?Atakuwa ni mtoto wa yule msanii mkubwa nasib abdul .....akamatwe nasib akapimwe Dna kichanga kipate haki yake...........
Ni sahih kbsa jusi Kati Kat katetwa kituo Cha madale police station kwa kumshambulia mtu ,nilikuwepo kweny hyo kesi Kama wakil wa jmaaHuyu linah sanga siku hizi amekuwa na bonge la wowowo aisee........nafikili kuna shida mahali
Allah amjalie UMRI MREFUMtoto mchanga ameokotwa leo alfajiri, Novemba 02, 2022 akiwa hai, baada ya kutupwa katika maeneo ya Madale.
Mtoto huyo anayedhaniwa kuzaliwa muda mfupi kabla ya kutupwa, amefikishwa kwenye zahanati ya Madale kwa matibabu zaidi.
Chanzo: ITV
Halafu mama atajitokeza na kusema "huyu ni mwanangu". Wewe mama uliyefanya hivi Mungu anakuona, nakusihi jitokeze kamchukue mwanao, hakuna atkayekufanya chochote. Huyu ni malaika, na kwa hivyo wewe utakuwa unamwangalia tu, matunzo ni ya Mungu mwenyewe. Kama uliweza kubeba mimba ya huyo malaika kwa miezi 9, ambayo ndio kazi kubwa, kumlea ni kazi ndogo na Mungu atakuwa nawe pamoja na mwanao. Nenda kamchukue mtoto. Wewe mbona mama ako hakukutupa? Amekulea vizuri na leo na wewe umekuwa mama, lakini utakuwa mama wa nani na mtoto mwenyewe umemtupa? Mungu akutie nguvu, na kuona kitendo ulichokifanya ni bahati mbaya tu na kwamba ukimchukua mwanao, mbingu na ardhi vitakusamehe na kukuepusha na laana.Ahueni bado yuko hai. Mwenyezi Mungu amjalie uzima na afya tele, ili hapo baadaye aje kuwa mtu mkubwa sana ndani ya hii nchi.