Mtoto mchanga ameokotwa Madale

Mtoto mchanga ameokotwa Madale

Maisha yamebeba siri kubwa.. Kunusurika kwakwe kuna sababu chanya au hasi.. Huo ni mwanzo mpya wa maisha yajayo yenye mengi .. Atakuja kusimulia au kusimuliwa kwa furaha ama kwa huzuni
Kuna mmoja juzi kanyonga mwanae mwenyewe tena kamnyonga kwa mikono yake mwenyewe
 
images.jpg
 
Hii ndio dunia huyu anamwona wanini huku kuna wengine wanahangaika usiku na mchana wakisema watapata lini.
 
Atakuwa ni mtoto wa yule msanii mkubwa nasib abdul .....akamatwe nasib akapimwe Dna kichanga kipate haki yake...........
acha kuchafua watu mkuu. nasib ana beba ujauzito?
inakusaidia nn kumchafua mtu bila ushahidi?
hata kama tunatumia fake ID lakini kutunza utu wa watu ni jambo jema na la kiungwana sana
 
Heri ya huyu (japo ni ukatili) aliyemuacha akiwa hai, wengine wanakanyonga na kutupa chooni.
 
Huyu linah sanga siku hizi amekuwa na bonge la wowowo aisee........nafikili kuna shida mahali
Ni sahih kbsa jusi Kati Kat katetwa kituo Cha madale police station kwa kumshambulia mtu ,nilikuwepo kweny hyo kesi Kama wakil wa jmaa
 
Ahueni bado yuko hai. Mwenyezi Mungu amjalie uzima na afya tele, ili hapo baadaye aje kuwa mtu mkubwa sana ndani ya hii nchi.
Halafu mama atajitokeza na kusema "huyu ni mwanangu". Wewe mama uliyefanya hivi Mungu anakuona, nakusihi jitokeze kamchukue mwanao, hakuna atkayekufanya chochote. Huyu ni malaika, na kwa hivyo wewe utakuwa unamwangalia tu, matunzo ni ya Mungu mwenyewe. Kama uliweza kubeba mimba ya huyo malaika kwa miezi 9, ambayo ndio kazi kubwa, kumlea ni kazi ndogo na Mungu atakuwa nawe pamoja na mwanao. Nenda kamchukue mtoto. Wewe mbona mama ako hakukutupa? Amekulea vizuri na leo na wewe umekuwa mama, lakini utakuwa mama wa nani na mtoto mwenyewe umemtupa? Mungu akutie nguvu, na kuona kitendo ulichokifanya ni bahati mbaya tu na kwamba ukimchukua mwanao, mbingu na ardhi vitakusamehe na kukuepusha na laana.
 
Ndio maana mi nasema kila siku hakuna binadamu mwenye roho mbaya kama mwanamke halafu kikitokea kitu utasikia tumbo la uzazi linanicheza washenzi wakubwa wakati hakuna makatili kama wao.
 
Back
Top Bottom