PostGE2025 Mtoto mdogo kama huyu anapigwa risasi, mmeondoa uhai wake kikatili sana

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Think2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
3,087
Reaction score
6,024
Huenda shetani ndie binadamu mwenyewe haiwezekani kuua watoto wadogo kwa risasi sasa huyu mtoto kosa lake nini lbd?

Afu kuna watu wanashabikia hii serikali ya wauaji.

Samuya kaa ukijua auaye kwa upanga hufa kwa upanga pia

IMG_2936.png

R.i.p dunia haina huruma najua nafsi Inalia huku ahela wanadamu wamekutenda vibaya kwa kukukatili ndoto zako mapema, najua hawawezi kuumia kwa kuwa sio ndg yao.
 
Madhara ya vurugu ndo hayo wanakumbwa wenye hatia na wasio na hatia.
Angalia Gaza watoto sana wamekumbwa na madhara ya vurugu. Leo hii walioenda kuwachokonoa Israel mpaka kusababisha Gaza nzima kuchakaa sijui kama walipiga hesabu zao vizuri.
SOMO HILO LIPO KWETU SASA.
 
Gaza wanauliwa na taifa jingine watanzania wanauliwa na MAMA SAMIA
Madhara ya vurugu ndo hayo wanakumbwa wenye hatia na wasio na hatia.
Angalia Gaza watoto sana wamekumbwa na madhara ya vurugu. Leo hii walioenda kuwachokonoa Israel mpaka kusababisha Gaza nzima kuchakaa sijui kama walipiga hesabu zao vizuri.
SOMO HILO LIPO KWETU SASA.
 
Huenda shetani ndie binadamu mwenyewe haiwezekani kuua watoto wadogo kwa risasi sasa huyu mtoto kosa lake nini lbd?
Afu kuna mangese yanashabikia hii serikali ya wauaji samuya kaa ukijua auaye kwa upanga hufa kwa upanga pia
View attachment 3507015
R.i.p dunia haina huruma najua nafsi Inalia huku ahela wanadamu wamekutenda vibaya kwa kukukatili ndoto zako mapema, najua hawawezi kuumia kwa kuwa sio ndg yao
ccm anguko lenu hamlikwepi hakika nawaambia
 
Madhara ya vurugu ndo hayo wanakumbwa wenye hatia na wasio na hatia.
Angalia Gaza watoto sana wamekumbwa na madhara ya vurugu. Leo hii walioenda kuwachokonoa Israel mpaka kusababisha Gaza nzima kuchakaa sijui kama walipiga hesabu zao vizuri.
SOMO HILO LIPO KWETU SASA.
Na bado kama nchi kuna watu aina yako mlizaliwa bila akili kabisa zaidi ni ufahamu tu wa kujua choo kipo wapi ili ukanye,hivi hujui kama kuna katiba ambayo ndiyo sheria zipo humo unadhani kulikuwa na umuhimu wa kuuwawa huyo mtoto kama sheria zingefuatwa?au kwasababu si mtoto wako hacha kiburi cha uhai ulichonacho na amini Mungu yupo na utalipwa kwa matendo yako ipo siku na si nyingi amini amini nakwambia!
 
Screenshot_20251103_181255.jpg

haya mambo yanaumiza mioyo sana sana na hatuwezi kuyasahau miaka mingi yatabaki kwenye historia mbaya kwenye nchi hii CCM imekunya sumu kwenye ardhi ya Tanganyika CCM ni Adui namba Moja ya Watanganyika CCM imeua maelfu ya watoto wa kitanganyika bila hatia ccm ccm ccm Mungu yupo na atajibu tunazidi kumuomba na kumnyenyekea apooze mioyo yetu.
 
Huenda shetani ndie binadamu mwenyewe haiwezekani kuua watoto wadogo kwa risasi sasa huyu mtoto kosa lake nini lbd?
Afu kuna mangese yanashabikia hii serikali ya wauaji samuya kaa ukijua auaye kwa upanga hufa kwa upanga pia
View attachment 3507015
R.i.p dunia haina huruma najua nafsi Inalia huku ahela wanadamu wamekutenda vibaya kwa kukukatili ndoto zako mapema, najua hawawezi kuumia kwa kuwa sio ndg yao.
Ni huzunii kuu kwa taifa. Mungu udili na CCM Kadri utakavyopendezwa
 
Eee Mungu moyo wangu unasikitika kwa ajili ya vijana hawa eeh Mungu utuponye majeraha ya moyo
 
Back
Top Bottom