Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 4,675
- 6,428
Kwamba adhabu yake ni Risasi???Mtoto mdogo angeakaa nyumbani kwanini kaenda kuandamana
Kwamba adhabu yake ni Risasi???Mtoto mdogo angeakaa nyumbani kwanini kaenda kuandamana
Hakuna cha kumuachia mungu hapo ndo mnapojichanganyaMtoto mdogo hivyo unampiga risasi amekosa nini?Hao watu walikuwa wanapiga risasi randomly kama vitani kitu ambacho ni kosa haya ni mauji ya watu wasio na Maria na wasio na silaha kwa nini umpige risasi mtu asiye na silaha Huu ni ujangili.Hapa Samia ametukosea sana ila tunamuachia Mungu.
Naunga mkono hoja mkuuUhai wa BINADAMU sio wa kuletea mizaha, kejeri na lugha za maudhii zisizo na staha.
Ni watu wa kupuuzwa maana wanacho display ni Unyama hata wanyama HAYAWANI hawajawai kufanyiana ivyoo
wakati mnaandaa maandamano mngekua mmewaza haya yote basi mngekua mmetumia kiasi flan cha akili yenu, ila kwa kua mlikua tayar kwa lolote basi mtulie kama sisi tulivotulia biashara zilivochomwa
Biashara mlichoma nyie wenyewe kutengeneza kisingiziowakati mnaandaa maandamano mngekua mmewaza haya yote basi mngekua mmetumia kiasi flan cha akili yenu, ila kwa kua mlikua tayar kwa lolote basi mtulie kama sisi tulivotulia biashara zilivochomwa
basi na huyo mlimuua nyie wenyeweBiashara mlichoma nyie wenyewe kutengeneza kisingizio
ACHENI UJINGA WENU WA KUTENGENEZA MAUDHUI YA KUSIKITISHA, WOTE TUNAJUA KWENYE VURUGU NGUMU KUCHAGUA AU KUWALENGA WAHUSIKA TU ASILIMIA 100% HAPA WA KULAUMIWA WALE MAHARAMIA WALIOANZISHA VURUGUHuenda shetani ndie binadamu mwenyewe haiwezekani kuua watoto wadogo kwa risasi sasa huyu mtoto kosa lake nini lbd?
Afu kuna mangese yanashabikia hii serikali ya wauaji samuya kaa ukijua auaye kwa upanga hufa kwa upanga pia
View attachment 3507015
R.i.p dunia haina huruma najua nafsi Inalia huku ahela wanadamu wamekutenda vibaya kwa kukukatili ndoto zako mapema, najua hawawezi kuumia kwa kuwa sio ndg yao.
AiseeHuyo mwamba aliyechuchumaa na kumshika marehemu hayo maumivu na huzuni aliyona anapiyia. So sad.
View attachment 3507216
Mfano wako ni wa hovyo sana, hivi kama unazo akili timamu unaweza kuthaminisha uhai na mali, utambue kuwa mali iliyoharibiwa serikali ndiyo inapaswa kufidia kwa kuwa katiba inaeleza kwamba moja ya jukumu lake la msingi ni kulinda mwananchi sasa.Madhara ya vurugu ndo hayo wanakumbwa wenye hatia na wasio na hatia.
Angalia Gaza watoto sana wamekumbwa na madhara ya vurugu. Leo hii walioenda kuwachokonoa Israel mpaka kusababisha Gaza nzima kuchakaa sijui kama walipiga hesabu zao vizuri.
SOMO HILO LIPO KWETU SASA.

Kama ni jambo jema kuua waharifu, rudisheni miili ndugu zao wakazike.ACHENI UJINGA WENU WA KUTENGENEZA MAUDHUI YA KUSIKITISHA, WOTE TUNAJUA KWENYE VURUGU NGUMU KUCHAGUA AU KUWALENGA WAHUSIKA TU ASILIMIA 100% HAPA WA KULAUMIWA WALE MAHARAMIA WALIOANZISHA VURUGU
Daaah! Aise 😭😪Huenda shetani ndie binadamu mwenyewe haiwezekani kuua watoto wadogo kwa risasi sasa huyu mtoto kosa lake nini lbd?
Afu kuna mangese yanashabikia hii serikali ya wauaji samuya kaa ukijua auaye kwa upanga hufa kwa upanga pia
View attachment 3507015
R.i.p dunia haina huruma najua nafsi Inalia huku ahela wanadamu wamekutenda vibaya kwa kukukatili ndoto zako mapema, najua hawawezi kuumia kwa kuwa sio ndg yao.
Chai! 😂😂😂Aisee
Dahhhhh!!! Inaumiza kiukweli
Wewe ni muuwaji hauwezi kuwalaumu wauaji wenzio , hivyo basi ni lazima utafute vijisababu vya kuhalalisha mlichokifanya..! Pumbavu kabisa shetani mkubwa weweMtoto mdogo angeakaa nyumbani kwanini kaenda kuandamana