PostGE2025 Mtoto mdogo kama huyu anapigwa risasi, mmeondoa uhai wake kikatili sana

PostGE2025 Mtoto mdogo kama huyu anapigwa risasi, mmeondoa uhai wake kikatili sana

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Mtoto mdogo hivyo unampiga risasi amekosa nini?Hao watu walikuwa wanapiga risasi randomly kama vitani kitu ambacho ni kosa haya ni mauji ya watu wasio na Maria na wasio na silaha kwa nini umpige risasi mtu asiye na silaha Huu ni ujangili.Hapa Samia ametukosea sana ila tunamuachia Mungu.
 
Watu wengine walikuwa wanarudi nyumbani wengine walikuwa kwenye biashara zao ila waliuliwa sasa unajiuliza aliyemshauri kuingiza watu waue wananchi mtaani ni nani?Uongozi huu utaisha ila hizi picha zitabaki siku zote za maisha yake.Mungu amsaidie sana huyu Rais ila kwa hili asipotubu na kuomba msamaha watu ataishia pabaya time will tell
 
Msamaha wa dhambi ni mauti hana msamaha msamaha wake ni kifo tu
 
Huenda shetani ndie binadamu mwenyewe haiwezekani kuua watoto wadogo kwa risasi sasa huyu mtoto kosa lake nini lbd?
Afu kuna mangese yanashabikia hii serikali ya wauaji samuya kaa ukijua auaye kwa upanga hufa kwa upanga pia
View attachment 3507015
R.i.p dunia haina huruma najua nafsi Inalia huku ahela wanadamu wamekutenda vibaya kwa kukukatili ndoto zako mapema, najua hawawezi kuumia kwa kuwa sio ndg yao.
ndugu kwa watoto kama hawa serikali inaomba msamaha kwa sababu kwenye kundi kubwa la wakorofi unakutana kijana kama huyu kajichomeka , ni shida kubagua lazima umwage ngugu sumu ili waelewe somo bahati mbaya inakutana na huyu
 
Huyo mwamba aliyechuchumaa na kumshika marehemu hayo maumivu na huzuni aliyona anapiyia. So sad.
Screenshot_20251125_124757_Chrome.jpg
 
Wameua mtu ila wazo halifi, mwili umelala ila NRNE iko live kabisa pembeni yake.
Kamemaliza la saba mwaka huu tu , hajashika silaha yeyote mkononi , anapigwa risasi akiwa maeneo ya nyumbani kwao how?? Daah kizazi cha samia kitailipia hii damu iliomwagika
 
Mtoto mdogo angeakaa nyumbani kwanini kaenda kuandamana
Nakuona LUCHA Umeamua kuja na I'D ingine..

Pole sanaa..kilicho fanyika ni crimes against humanity najua ungekua muda huu hauna mkono au mguu mmoja.

Jicho moja limepofuka alaf ukatupwa mochwari ugugumie maumivu..

Pole sanaa sana ila uharamia huu hauto enda buree haiwezekanii mlicho Fanya ni crimes against humanity
 
Huyo dogo dawa yake ni kumtia la kati huko ignore list ni mpuuzi sana
 
Huyo dogo dawa yake ni kumtia la kati huko ignore list ni mpuuzi sana
Uhai wa BINADAMU sio wa kuletea mizaha, kejeri na lugha za maudhii zisizo na staha.

Ni watu wa kupuuzwa maana wanacho display ni Unyama hata wanyama HAYAWANI hawajawai kufanyiana ivyoo
 
Back
Top Bottom