Madhara ya vurugu ndo hayo wanakumbwa wenye hatia na wasio na hatia.
Angalia Gaza watoto sana wamekumbwa na madhara ya vurugu. Leo hii walioenda kuwachokonoa Israel mpaka kusababisha Gaza nzima kuchakaa sijui kama walipiga hesabu zao vizuri.
SOMO HILO LIPO KWETU SASA.
ccm anguko lenu hamlikwepi hakika nawaambiaHuenda shetani ndie binadamu mwenyewe haiwezekani kuua watoto wadogo kwa risasi sasa huyu mtoto kosa lake nini lbd?
Afu kuna mangese yanashabikia hii serikali ya wauaji samuya kaa ukijua auaye kwa upanga hufa kwa upanga pia
View attachment 3507015
R.i.p dunia haina huruma najua nafsi Inalia huku ahela wanadamu wamekutenda vibaya kwa kukukatili ndoto zako mapema, najua hawawezi kuumia kwa kuwa sio ndg yao
Na bado kama nchi kuna watu aina yako mlizaliwa bila akili kabisa zaidi ni ufahamu tu wa kujua choo kipo wapi ili ukanye,hivi hujui kama kuna katiba ambayo ndiyo sheria zipo humo unadhani kulikuwa na umuhimu wa kuuwawa huyo mtoto kama sheria zingefuatwa?au kwasababu si mtoto wako hacha kiburi cha uhai ulichonacho na amini Mungu yupo na utalipwa kwa matendo yako ipo siku na si nyingi amini amini nakwambia!Madhara ya vurugu ndo hayo wanakumbwa wenye hatia na wasio na hatia.
Angalia Gaza watoto sana wamekumbwa na madhara ya vurugu. Leo hii walioenda kuwachokonoa Israel mpaka kusababisha Gaza nzima kuchakaa sijui kama walipiga hesabu zao vizuri.
SOMO HILO LIPO KWETU SASA.
Ni huzunii kuu kwa taifa. Mungu udili na CCM Kadri utakavyopendezwaHuenda shetani ndie binadamu mwenyewe haiwezekani kuua watoto wadogo kwa risasi sasa huyu mtoto kosa lake nini lbd?
Afu kuna mangese yanashabikia hii serikali ya wauaji samuya kaa ukijua auaye kwa upanga hufa kwa upanga pia
View attachment 3507015
R.i.p dunia haina huruma najua nafsi Inalia huku ahela wanadamu wamekutenda vibaya kwa kukukatili ndoto zako mapema, najua hawawezi kuumia kwa kuwa sio ndg yao.