unabisha.Watu wamekufa kwa kutochaguliwa jinga weweMtoto mdogo angeakaa nyumbani kwanini kaenda kuandamana
Hivi kweli pesa zinawafanya muwaze hivi kweli?Angekuwa ni ndugu yako au mwanao ungesema hivi?Mtoto mdogo angeakaa nyumbani kwanini kaenda kuandamana
Kaenda kuandamana?ipo siku mwanao yatamkuta hayaMtoto mdogo angeakaa nyumbani kwanini kaenda kuandamana
Msamaha wa dhambi ni mauti hana msamaha msamaha wake ni kifo tuWatu wengine walikuwa wanarudi nyumbani wengine walikuwa kwenye biashara zao ila waliuliwa sasa unajiuliza aliyemshauri kuingiza watu waue wananchi mtaani ni nani?Uongozi huu utaisha ila hizi picha zitabaki siku zote za maisha yake.Mungu amsaidie sana huyu Rais ila kwa hili asipotubu na kuomba msamaha watu ataishia pabaya time will tell
Achana na mashetani hayo... kajoin jana humu kuongea upumbavuHivi kweli pesa zinawafanya muwaze hivi kweli?Angekuwa ni ndugu yako au mwanao ungesema hivi?
ndugu kwa watoto kama hawa serikali inaomba msamaha kwa sababu kwenye kundi kubwa la wakorofi unakutana kijana kama huyu kajichomeka , ni shida kubagua lazima umwage ngugu sumu ili waelewe somo bahati mbaya inakutana na huyuHuenda shetani ndie binadamu mwenyewe haiwezekani kuua watoto wadogo kwa risasi sasa huyu mtoto kosa lake nini lbd?
Afu kuna mangese yanashabikia hii serikali ya wauaji samuya kaa ukijua auaye kwa upanga hufa kwa upanga pia
View attachment 3507015
R.i.p dunia haina huruma najua nafsi Inalia huku ahela wanadamu wamekutenda vibaya kwa kukukatili ndoto zako mapema, najua hawawezi kuumia kwa kuwa sio ndg yao.
Wameua mtu ila wazo halifi, mwili umelala ila NRNE iko live kabisa pembeni yake.I nahitaji mabadiliko yes ni haki yake lkn wamemuua
Walioenda kupiga kura nao waliandamana? Kila aliyekuwa nje aliandamana?Mtoto mdogo angeakaa nyumbani kwanini kaenda kuandamana
Huyu akiandamana wanakuambia kaalshawishiwa na Mange. Wanakatwa sana hawa jamaa.Huyo mwamba aliyechuchumaa na kumshika marehemu hayo maumivu na huzuni aliyona anapiyia. So sad.
View attachment 3507216
Kamemaliza la saba mwaka huu tu , hajashika silaha yeyote mkononi , anapigwa risasi akiwa maeneo ya nyumbani kwao how?? Daah kizazi cha samia kitailipia hii damu iliomwagikaWameua mtu ila wazo halifi, mwili umelala ila NRNE iko live kabisa pembeni yake.
Samia jamani. Why? Ili tu ubakie madarakani? Mama WHY?Huyo mwamba aliyechuchumaa na kumshika marehemu hayo maumivu na huzuni aliyona anapiyia. So sad.
View attachment 3507216
Nakuona LUCHA Umeamua kuja na I'D ingine..Mtoto mdogo angeakaa nyumbani kwanini kaenda kuandamana
THE BIG SHOW, Lucas Mwashambwa, stakehigh Venus StarHuenda shetani ndie binadamu mwenyewe haiwezekani kuua watoto wadogo kwa risasi sasa huyu mtoto kosa lake nini lbd?
Afu kuna mangese yanashabikia hii serikali ya wauaji samuya kaa ukijua auaye kwa upanga hufa kwa upanga pia
View attachment 3507015
R.i.p dunia haina huruma najua nafsi Inalia huku ahela wanadamu wamekutenda vibaya kwa kukukatili ndoto zako mapema, najua hawawezi kuumia kwa kuwa sio ndg yao.
Huyo dogo dawa yake ni kumtia la kati huko ignore list ni mpuuzi sanaNakuona LUCHA Umeamua kuja na I'D ingine..
Pole sanaa..kilicho fanyika ni crimes against humanity najua ungekua muda huu hauna mkono au mguu mmoja.
Jicho moja limepofuka alaf ukatupwa mochwari ugugumie maumivu..
Pole sanaa sana ila uharamia huu hauto enda buree haiwezekanii mlicho Fanya ni crimes against humanity
Uhai wa BINADAMU sio wa kuletea mizaha, kejeri na lugha za maudhii zisizo na staha.Huyo dogo dawa yake ni kumtia la kati huko ignore list ni mpuuzi sana