PostGE2025 Mtoto mdogo kama huyu anapigwa risasi, mmeondoa uhai wake kikatili sana

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hakuna cha kumuachia mungu hapo ndo mnapojichanganya

Huyu bi chura anatakiwa tumalizane nae hapahapa
Mungu wenu huwa anachelewa sometimes
9dec..
 
wakati mnaandaa maandamano mngekua mmewaza haya yote basi mngekua mmetumia kiasi flan cha akili yenu, ila kwa kua mlikua tayar kwa lolote basi mtulie kama sisi tulivotulia biashara zilivochomwa
Biashara mlichoma nyie wenyewe kutengeneza kisingizio
 
ACHENI UJINGA WENU WA KUTENGENEZA MAUDHUI YA KUSIKITISHA, WOTE TUNAJUA KWENYE VURUGU NGUMU KUCHAGUA AU KUWALENGA WAHUSIKA TU ASILIMIA 100% HAPA WA KULAUMIWA WALE MAHARAMIA WALIOANZISHA VURUGU
 
Mfano wako ni wa hovyo sana, hivi kama unazo akili timamu unaweza kuthaminisha uhai na mali, utambue kuwa mali iliyoharibiwa serikali ndiyo inapaswa kufidia kwa kuwa katiba inaeleza kwamba moja ya jukumu lake la msingi ni kulinda mwananchi sasa.
 
ACHENI UJINGA WENU WA KUTENGENEZA MAUDHUI YA KUSIKITISHA, WOTE TUNAJUA KWENYE VURUGU NGUMU KUCHAGUA AU KUWALENGA WAHUSIKA TU ASILIMIA 100% HAPA WA KULAUMIWA WALE MAHARAMIA WALIOANZISHA VURUGU
Kama ni jambo jema kuua waharifu, rudisheni miili ndugu zao wakazike.

Mmeshanyonya damu za watu inatosha
 
Daaah! Aise 😭πŸ˜ͺ
 
Inasikitisha sana...but who knows...hapo pembeni hiyo katatasi imeandikwa no reforms no election,what if kama chadema iliamua kutumia hao watoto baadhi kama vijana wao kwenye hayo maandamano ya vurugu?
 
Mtoto mdogo angeakaa nyumbani kwanini kaenda kuandamana
Wewe ni muuwaji hauwezi kuwalaumu wauaji wenzio , hivyo basi ni lazima utafute vijisababu vya kuhalalisha mlichokifanya..! Pumbavu kabisa shetani mkubwa wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…