Kundi kubwa la wakorofi..?! Ile ilikuwa ni vita ..?! Hivi unafahamu sheria za kushambulia binadamu kwa risasi..?!ndugu kwa watoto kama hawa serikali inaomba msamaha kwa sababu kwenye kundi kubwa la wakorofi unakutana kijana kama huyu kajichomeka , ni shida kubagua lazima umwage ngugu sumu ili waelewe somo bahati mbaya inakutana na huyu
Pumbavu wewe una biashara gani ..?! Hiyo biashara unawauzia watu gani ..?! Unachagua ..?!wakati mnaandaa maandamano mngekua mmewaza haya yote basi mngekua mmetumia kiasi flan cha akili yenu, ila kwa kua mlikua tayar kwa lolote basi mtulie kama sisi tulivotulia biashara zilivochomwa
Huenda shetani ndie binadamu mwenyewe haiwezekani kuua watoto wadogo kwa risasi sasa huyu mtoto kosa lake nini lbd?
Afu kuna mangese yanashabikia hii serikali ya wauaji samuya kaa ukijua auaye kwa upanga hufa kwa upanga pia
View attachment 3507015
R.i.p dunia haina huruma najua nafsi Inalia huku ahela wanadamu wamekutenda vibaya kwa kukukatili ndoto zako mapema, najua hawawezi kuumia kwa kuwa sio ndg yao.
ukiwa maskini hata mawazo yako yanakua ya kimaskini akuna sku utaweza kutoa hojaPumbavu wewe una biashara gani ..?! Hiyo biashara unawauzia watu gani ..?! Unachagua ..?!
Muuwaji wewe bila shaka
Hakuna kosa walilofanya linalostahi adhabu ya kuuuwawa na wote mnaona
hii ni kawaida ninyi ni mashetani,
Ninyi ndio mnaotoa kafara mama zenu ili hizo biashara zenu uchwara zishamiri .. mnathamini mali kuliko chovhote mashetani ninyi
Perceptions za kujiona wewe ni tajiri kisa ufisadi huo ndio umasikini wenyewe.ukiwa maskini hata mawazo yako yanakua ya kimaskini akuna sku utaweza kutoa hoja
Kma alikua kwenye maadamano akauliwa, nampongeza ila kama alipoteza maisha bahati mbaya, Nawaombea wapumzike kwa amani Mwenyezi Mungu awafutie adhabh ya kaburi, kwa kua walikua wema naamini watazaliwa tena upya ila hawa wa fujo... nisiongee mengiPerceptions za kujiona wewe ni tajiri kisa ufisadi huo ndio umasikini wenyewe.
Damu za watu mliowamaliza zitawarudia tu
Time will tell
Kwa hiyo una shauri nini maana umeishia hewani?Madhara ya vurugu ndo hayo wanakumbwa wenye hatia na wasio na hatia.
Angalia Gaza watoto sana wamekumbwa na madhara ya vurugu. Leo hii walioenda kuwachokonoa Israel mpaka kusababisha Gaza nzima kuchakaa sijui kama walipiga hesabu zao vizuri.
SOMO HILO LIPO KWETU SASA.
Achae ujinga wa kumwachia Mungu. Ktk mazingira kama haya huyo Mungu anakuagiza upigane, vinginevyo utatekeleza.Mtoto mdogo hivyo unampiga risasi amekosa nini?Hao watu walikuwa wanapiga risasi randomly kama vitani kitu ambacho ni kosa haya ni mauji ya watu wasio na Maria na wasio na silaha kwa nini umpige risasi mtu asiye na silaha Huu ni ujangili.Hapa Samia ametukosea sana ila tunamuachia Mungu.
kwahiyo we pimbi unajaribu kusema nini? Kwamba sisi ni kama Gaza tulimchokoza Israel? Hivi nyie vimada wake abdul hamna utu kweli au ndo mkishakalia hogo lake mnasahau kila kitu?Madhara ya vurugu ndo hayo wanakumbwa wenye hatia na wasio na hatia.
Angalia Gaza watoto sana wamekumbwa na madhara ya vurugu. Leo hii walioenda kuwachokonoa Israel mpaka kusababisha Gaza nzima kuchakaa sijui kama walipiga hesabu zao vizuri.
SOMO HILO LIPO KWETU SASA.
View attachment 3507064
haya mambo yanaumiza mioyo sana sana na hatuwezi kuyasahau miaka mingi yatabaki kwenye historia mbaya kwenye nchi hii CCM imekunya sumu kwenye ardhi ya Tanganyika CCM ni Adui namba Moja ya Watanganyika CCM imeua maelfu ya watoto wa kitanganyika bila hatia ccm ccm ccm Mungu yupo na atajibu tunazidi kumuomba na kumnyenyekea apooze mioyo yetu.