Mtoto miaka 4 apasua kioo cha basi la Shabiby kwa manati

Toto tundu. Wazazi wamempa bibi mzigo. Dogo anakuwa maarifu Kwa uharibifu
 
Taarifa imfikie Shabibby, amrudishie fedha huyo bibi masikini. Dereva maadamu anijua nyumba ya huyo bibi na bibi alikuwa tayari kulipa, ingebidi akamjulishe Shabibby kuhusu tukio na utayari wa bibi kulipa badala ya kuzipokea hizo pesa.
Kwako Shabibby nenda binafsi kamkabidhi pesa hizo huyo bibi, Mungu atakubariki na biashata yako itashamiri.
 
Ahahaha daaah
 
Inabidi achapwe fimbo miambili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…