Ubaya Ubwela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 1,353
- 3,060
Huyo bibi kafanya uungwana sana angesema hana kitu cha kulipa wasingemfanya chochote, na mtoto wasingempeleka popoteTaarifa imfikie Shabibby, amrudishie fedha huyo bibi masikini. Dereva maadamu anijua nyumba ya huyo bibi na bibi alikuwa tayari kulipa, ingebidi akamjulishe Shabibby kuhusu tukio na utayari wa bibi kulipa badala ya kuzipokea hizo pesa.
Kwako Shabibby nenda binafsi kamkabidhi pesa hizo huyo bibi, Mungu atakubariki na biashata yako itashamiri.
Huyo mtoto alikua wa kuchapa fimbo kashaa za onyo na kalipio