Mtoto miaka 4 apasua kioo cha basi la Shabiby kwa manati

Huyo bibi kafanya uungwana sana angesema hana kitu cha kulipa wasingemfanya chochote, na mtoto wasingempeleka popote

Huyo mtoto alikua wa kuchapa fimbo kashaa za onyo na kalipio
 
Huyo bibi kafanya uungwana sana angesema hana kitu cha kulipa wasingemfanya chochote, na mtoto wasingempeleka popote

Huyo mtoto alikua wa kuchapa fimbo kashaa za onyo na kalipio
Na wewe unaamini kweli Bibi alilipa hiyo hela. Labda kama alikua nazo za mchezo
 
Hao ndo magaidi
Hao ndo magaidi wa baadae
 
Ametumia risasi?

Vioo vya madirisha ya abiria materials zilizotumika kutengenezea ni plastic.

Halafu kioo cha dereva ni glass ambayo katikati kuna material kama gundi, hata kukitokea ajali huwa vinasagika kwa kukunjika.

Sijaridhika na maelezo namna ilivyotokea, nguvu ya manati kuweza kuvunja kioo cha plastick, how comes!
 
Mtoto huyo aachwe jinsi alivyo ila afuatiliwe na baadaye ajiunge na jeshi na kupelekwa kitengo cha kulenga shabaha.
 
Kuna mtoto pia alipata kioo kwa manati nikamfukuza a kakimbilia kwa bibi yake bibi akasema huyu mtoto nmeshindwa kwa tabia zake wazaz wake kuja nikawaambia walipe laki moja wakasema hawana hela ya kulipa labda nichukue kuku mmoja na bâti 3 ndvyo walivyo navyo nikaamua kuondoka tu
 
Ingawa hakuna abiria aliyejeruhiwa, mmoja alikwepa chupuchupu kupigwa na jiwe hilo.

Kuna wasiwasi unaoongezeka kuhusu tabia hatari ya mvulana huyo, ambayo inaweza kusababisha ajali mbaya katika siku zijazo
Akamatwe kwanza anyetengeneza manati na kuwaachia watoto, ipo siku atamtoa mtu jicho, silaha yoyote ina miiko yake kabla haijakabidhiwa kwa mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…