Mtoto mikononi mwa polisi kwa kumlawiti mwenzake

Nafahamu hivyo. Kwamba kwa kuwa ni mtoto mwenye umri chini ya miaka 18 basi hawajibiki kwa kitendo kibaya cha kulawiti mtoto wa miaka miwili kwa vile hakujua anachofanya. Suala hili Wamarekani waliliona na hivyo kuwatunza gerezani hadi hapo walipofikisha miaka 18 ndipo wakapewa adhabu iliyostahili. . Tutawaachia maaluni wengi watende wapendavyo kwa kisingizio cha umri.
Huo ujinga,kumuhukumu mtu kwa kosa alilofanya akiwa 'mjinga' kisheria
 
hayo mambo siku hizi yamekuwa mengi sana najaribu kuwaza sijui tatizo nini
Wazazi wengi nw days wanapenda hayo mambo, sasa mtoto itakuweje? Maisha ya kupeleka watoto boarding yanazid kuwa hatarishi sana.
 
yaani mtoto mdogo kichwa kimeshakuwa installed files za kubanduana tena kulawiti kabisa, hii ni hatari sana.

Umasikini unazalisha mambo mengi sana ya ajabu, 13yrs Tanzania anawaza kumlawiti mwenzie na binadamu huyu tunahitaji aje kuwa skilled workforce siku za usoni.

Tuyaangalie haya mambo kwa kina na kuacha mzaha kabisa, madhara yake ni makubwa baadaye kuliko tunavyowaza.
Wewe mwenyewe unafira wanawake!

Unafiki tu
 
Na malezi yanachangia sana , tena kama huko vijijini vibinti umri kama huo ni vimicharuko hatari, watu hawaendi na Nyakati watoto wasiku hizi ni wajanja mno tofauti na huko nyuma, wazazi wananyanduana hovyo hovyo, kama wale wanaochezega nusu uchi, unategemea watoto wanajifunza nini.
 
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara linamshikilia mtoto wa miaka 13 mkazi wa kijiji cha Minyembe halmashauri ya Wilaya ya Mtwara kwa tuhuma za kumlawiti mtoto wa miaka miwili.

Akizungumza na waandishi wa habari Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara, Nicodemus Katembo amesema tukio hilo lilitokea Septemba 30, 2022.

Amesema mtuhumiwa anashikiliwa na polisi akisubiri uchunguzi ukamilike ili afikishwe mahakamani.

“Jeshi hilo lnakemea ukatili wa aina hiyo dhidi ya watoto, hatua kali za kisheria zitachukuliwa kwa wote wanaoendelea kufanya ukatili kama huo,” amesema Katembo.

Sabina Samweli, mkazi wa kijiji cha Minyembe amesema muda tukio linatokea watu wengi walikuwa mashambani na watoto hao ni ndugu.

"Watu walikuwa mashambani huyo mtoto aliitwa na kaka yake wakaingia ndani, ila alipolia kwa sauti yule mdogo, watoto waliokuwa wakicheza jirani na eneo hilo walikimbilia ndani kufika wakakuta tukio limeshafanyika yaani huyu kijana asingekuwa ndugu yake nafikiri mimi ndio ningeenda jela haiwezekani umfanyie mdogo wako unyama kama ule."

"Nimejisikia vibaya huyu mtoto ni mdogo sana kufanyiwa kitendo hiki kibaya sana yaani ameumizwa sana yaani amemuingilia kinyume cha maumbile hii sio sawa," amesema Samwel
Jamani Mungu tusaidie
 
Haya ni matokeo ya nyimbo za bongo fleva kina mondi, mboso na konde kuimba matusi kila nyimboo na utandawazi uliopitiliza..

Hali ni tete..
 
Na malezi yanachangia sana , tena kama huko vijijini vibinti umri kama huo ni vimicharuko hatari, watu hawaendi na Nyakati watoto wasiku hizi ni wajanja mno tofauti na huko nyuma, wazazi wananyanduana hovyo hovyo, kama wale wanaochezega nusu uchi, unategemea watoto wanajifunza nini.
Swala la malezi ni very complicated sana, hasa nyakati hizi.

Mtoto wako unaweza mlea katika maadili mema, lakini jamii inayomzunguka ikawa changamoto kimaadili.
 
Huyo dogo wa miaka 13 asipelekwe jela ya watoto maana atawaharibu wengine, apelekwe jela ya watu wazima akaisome number walahi [emoji35]
Shenzi type [emoji2959]
 
Wewe ulilawitiwa?
Cc Rockefeller refer on comment no 37 [emoji116]

"Wapumbavu wasipokuja kukukejeli hapa kuwa wewe ndiwe uliyelawitiwa miongoni mwa hao Vijana wawili niite MFALME nimekaa pale [emoji117][emoji137]"

[emoji1787]
 
Na malezi yanachangia sana , tena kama huko vijijini vibinti umri kama huo ni vimicharuko hatari, watu hawaendi na Nyakati watoto wasiku hizi ni wajanja mno tofauti na huko nyuma, wazazi wananyanduana hovyo hovyo, kama wale wanaochezega nusu uchi, unategemea watoto wanajifunza nini.
Unamaanisha huenda mtoto alishuhudia wazazi wake wakif*r*na hadharani ndipo naye akahamasika kufanya hivyo?
 
Haya ni matokeo ya nyimbo za bongo fleva kina mondi, mboso na konde kuimba matusi kila nyimboo na utandawazi uliopitiliza..

Hali ni tete..
Kabisa, na TV channels zinasapoti huo ujinga ilihali BASATA wakiwa wamekausha kau kau kama vile kinachoendelea ni kizuri kimaadili ktk Jamii zetu wa-TZ
 
Back
Top Bottom