Mtoto mikononi mwa polisi kwa kumlawiti mwenzake

Mtoto mikononi mwa polisi kwa kumlawiti mwenzake

Mchungaji nae amchakata mwanae
IMG_20221012_190546_5.jpg
 
Hatimaye matokeo maudhui ya muziki wa bongo flavor na singeli yaanza kuonekana.
 
Sikieni nyie huyo mtoto ahojiwe hapo asilimia mia kuna lijamaa lilikua linamfudua huyo mtoto nae kashazoea ndio akaanza kuwafanyia wenzake
 
Last born wetu alikuwa anasoma boarding alikuwa darasa la 2 mwaka juzi, Yaani unampeleka mtoto shule ambayo unajua ins maadili kumbe hovyo,hakuna kitu kwa karne ya sasa mambo ni hovyoo

Tulipewa taarifa ambazo family nzima tulilia machozi,

Haya mambo yasikie tu humu lkn yanaumiza mfano wa kushika kaa la moto,

Mungu atuepushie,
Alinyanduliwa ?
 
Back
Top Bottom