KUTATABHETAKULE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 5,159
- 5,070
Kutokuijua sheria hakukufanyi uiepuke adhabu. Ignorance of the law is not an excuse "ignorantia iuris non est excusatio"Huo ujinga,kumuhukumu mtu kwa kosa alilofanya akiwa 'mjinga' kisheria
Ujinga kwa muktadha huo ni utoto,acha kutafuta pa kutapikia ulivyokaririKutokuijua sheria hakukufanyi uiepuke adhabu. Ignorance of the law is not an excuse "ignorantia iuris non est excusatio"
Asante. Ungetumia lugha ya kistaarabu katika kutoa maoni yako. Hatuna ugomvi wowote kati yetu bali ni mitazamo tofauti.Ujinga kwa muktadha huo ni utoto,acha kutafuta pa kutapikia ulivyokariri
Usikonde mwananguAsante. Ungetumia lugha ya kistaarabu katika kutoa maoni yako. Hatuna ugomvi wowote kati yetu bali ni mitazamo tofauti.
Alinyanduliwa ?Last born wetu alikuwa anasoma boarding alikuwa darasa la 2 mwaka juzi, Yaani unampeleka mtoto shule ambayo unajua ins maadili kumbe hovyo,hakuna kitu kwa karne ya sasa mambo ni hovyoo
Tulipewa taarifa ambazo family nzima tulilia machozi,
Haya mambo yasikie tu humu lkn yanaumiza mfano wa kushika kaa la moto,
Mungu atuepushie,