Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Aiseeπ€¦Mungu wangu!!!
Sijui ni mitandao na simu hizi na filamu wanazoonyeshwa watoto ambazo zinawazidi umri?
Watoto wanaangalia movie za mauwaji
Wenzetu sio wajinga wanaposema 18 only
Sasa watu wanaweka picha halafu watoto wadogo wanaangalia ndio naona matokeo yake haya
Habari haijakamilika. Da ila inauma sanaMtoto Elvila Eliudi mwenye umri wa miaka mitano, amefariki dunia baada ya kuchinjwa na mtoto wa mmoja wa wapangaji waliokuwa wakiishi nyumba moja Temboni Kimara Dar es Salaam.
View attachment 3291484
Video: ITV Digital
Watoto hawalelewi kama watoto siku hizi.Aiseeπ€¦
Inaumiza sana aiseWatoto hawalelewi kama watoto siku hizi.
Haya ndio matokeo yake,
Mtoto mpaka anamchinja mwenzie katoa wapi ukatili wa aina hiyo kama sio movie
Tamaa za hawa vijana wanaonyesha movie na hata game pia sio salama
Wao wanaangalia hela tu
Inabidi wadhibitiwe kabisa
Huenda imechochewa na movie wanazotazama, kuna mwingine sikumbuki ni wapi alijinyonga,Mtoto Elvila Eliudi mwenye umri wa miaka mitano, amefariki dunia baada ya kuchinjwa na mtoto wa mmoja wa wapangaji waliokuwa wakiishi nyumba moja Temboni Kimara Dar es Salaam.
View attachment 3291484
Video: ITV Digital
Sana sana, mtoto anauma jamaniInaumiza sana aise
Subhana AllahSubhuhana π