Movie za Othuman hizo za Azam😭😭😭Mtoto Elvila Eliudi mwenye umri wa miaka mitano, amefariki dunia baada ya kuchinjwa na mtoto wa mmoja wa wapangaji waliokuwa wakiishi nyumba moja Temboni Kimara Dar es Salaam.
View attachment 3291484
Video: ITV Digital
aseee kumbe jitu la form four kabisa,, anauwezo wa kuzalisha/ kuzalishwa,,, wamcheki afya ya akiliMuuaji amemaliza form four unamuita mtoto acheni ujinga nyie
USSR
Pole sana,maisha ya dunia ni maumivu mengi kuliko furahaSana sana, mtoto anauma jamani
Kifo cha kawaida tu kiliniuma itakuwa kuchinjwa
Sijui wazazi wana hali gani na bibi yake alivyokuwa analia daa
Asante sana, kweli dunia ina mengi sana hii mpaka tunaondoka tutakuwa tumeona, kusikia na hata kututokea mengi⁰Pole sana,maisha ya dunia ni maumivu mengi kuliko furaha
Kwahiyo wewe umeona kwa jicho la tatu, mtoto wa mpangaji kaangushiwa jumba bovu kwa kushikishwa kisu na kumchinja mwenzake?Ushirikina ni janga
Umekurupuka mzee, aliyefanya mauaji wala sio under 18Mungu wangu!!!
Sijui ni mitandao na simu hizi na filamu wanazoonyeshwa watoto ambazo zinawazidi umri?
Watoto wanaangalia movie za mauwaji
Wenzetu sio wajinga wanaposema 18 only
Sasa watu wanaweka picha halafu watoto wadogo wanaangalia ndio naona matokeo yake haya
Inshallah, lakini Mungu ni mwema wakati woteAsante sana, kweli dunia ina mengi sana hii mpaka tunaondoka tutakuwa tumeona, kusikia na hata kututokea mengi
Tuwe na Subira sana
Mungu wangu!!!
Sijui ni mitandao na simu hizi na filamu wanazoonyeshwa watoto ambazo zinawazidi umri?
Watoto wanaangalia movie za mauwaji
Wenzetu sio wajinga wanaposema 18 only
Sasa watu wanaweka picha halafu watoto wadogo wanaangalia ndio naona matokeo yake haya
Na ushirikina pia unaweza kuwemo, nimekumbuka yule mtoto wa miaka 11 miaka ya 2009 hivi nafikiri tabata au segerea alichinja mtoto wa miaka 3 akakutwa na kichwa anakulaInawezekana, Lulu kupitia mitandao ya Kijamii ,alionana na MTU wakawa marafiki, akawa anamtumia tumia Pesa.
Hivo Lulu akaingia 18 , inawezekana Lulu amefanya kitendo hicho akiwa live Kwa makubaliano ya atatumiwa Pesa nyingi.
Inawezekana Pia Lulu Kaua kwakua kuna kabwana kake kalimwambia "mbona Elvina kaniambia haupo nyumban/ Elvina ndio aliniambia ...".
Inawezekana Lulu Kaua Kwa sababu nyuma yake kuna MTU au watu walomwambia, fanya hivo ,utampata hiki, kuanzia watu wa Siasa, Dini n.k
Inawezekana Lulu, alitaka kumkomesha Binti wa mwenye nyumba ( yaan inawezekana Mama mwenye nyumba, ana Binti wake, ambaye Binti ndio mama wa Marehem) kwahiyo pengine, Mama mwenye Nyumba au Binti yake, waliingiza kwenye mgogoro na Lulu , hivo Lulu akaamua kuvuta mabangi, na kuua kama sehem ya kumuumiza mwenye nyumba au Mama wa mtoto?
Inawezekana Lulu ana tatizo la Afya ya Akili?.
Yaan Swali hapa ni kua, Kwanini Lulu atoke atokako ,amuulizie Mtoto Yuko wapi, Kisha amfate ?. ( Ni wazi tayari nyuma yake kuna nguvu kubwa).
Yote Kwa yote, Lulu Sio mtoto, na hata angekua mtoto, nadhabu Adhabu pekee inayomfaa ni Kunyongwa Hadi Kufa.
Huu upuuzi wa Alifanya makosa akiwa mtoto, ni wakati wa kuupuuza.
Ukiangalia sababu zote hizo ulizo ainisha ni za kukwepa majukumu kama mzazi, Kwa mzazi anayejielewa kulea haiwezi kuwa kaziKulea watoto kwenye huu ulimwengu wa sasa uliochanganyikiwa ni kazi sana.
1.Dada wa kazi unaogopa asije akafanya kituko, unaishi kwa machale
2.Dereva wa gari - mauncles nao ni stress tupu, inabidi ufanye uchunguzi, ujue kama ana-back up ya mwanamke etc..wakati mwingine ukiona sura tu, unasema hapa mwanangu huyu hampeleki.
3.Majirani nao, ndo hao
4.Watoto wenzao - ndo sijui wanaingia mapepo, utasikia mtoto kalawitiwa na wenzake
5.Hujakaa sawa - mwalimu kapiga tukio shuleni
6.Houseboy, ndugu waliopo nyumbani nao hawaaminiki, sometimes unaondoka na mwanao,
Haya maisha mbona yanakuwa magumu sana kwenye ulezi
Inasikitisha sana sana na kumuumiza mno.Sana sana, mtoto anauma jamani
Kifo cha kawaida tu kiliniuma itakuwa kuchinjwa
Sijui wazazi wana hali gani na bibi yake alivyokuwa analia daa
Umeshaambiwa ni limama la miaka 19, na limeua na kujisalimisha kituo cha polisi hivyo lina hali nzuri tu huko linajisikia comfortable.Inasikitisha sana sana na kumuumiza mno.
Mimi na muwazia tu huyo mtoto mtuhumiwa sijui kwa sasa ata kuwa na haki gani! Heri angekuwa mtu mzima tungesema dhamiri inamsuta sasa!
Sheria kali ziwekwe na hata wazazi waeleweshwe pia mashuleniSure ,hii ni moja ya chanzo cha mauaji ,ndiyo maana kwenye movie kuna PG rating na Parental advisory Explicit COntent(Kwa Muziki)....Wazungu waliona hii ,watoto wanapenda kuiga mambo ,mtoto mdogo unamuonyesha movie za kuchinjana Squid Game ambayo ni PG 16+ lakini hadi watoto below 6 wanaangalia.