Mtoto mwenye umri wa miaka 5 auawa kwa kuchinjwa Kimara

Mtoto mwenye umri wa miaka 5 auawa kwa kuchinjwa Kimara

Inasikitisha sana sana na kumuumiza mno.

Mimi na muwazia tu huyo mtoto mtuhumiwa sijui kwa sasa ata kuwa na haki gani! Heri angekuwa mtu mzima tungesema dhamiri inamsuta sasa!
Inasikitisha sana
Anaweza kufungwa jela ya watoto sijui
Yaani ni mtihani mkubwa sana
 
Umekurupuka mzee, aliyefanya mauaji wala sio under 18
Sio kukurupuka bali waandishi ndio wanakurupuka
Kesi zingekuwa zinatolewa ripoti na polisi kwanza ndio zinaandikwa
Kuna habari za mwanzo zimesema kachinjwa na mtoto wa jirani

Kwani mtoto huwa ana umri gani?
 
Inahuzunisha sana, poleni sana wafiwa, Marehemu apumzike kwa Amani.
 
Watoto hawalelewi kama watoto siku hizi.
Haya ndio matokeo yake,
Mtoto mpaka anamchinja mwenzie katoa wapi ukatili wa aina hiyo kama sio movie

Tamaa za hawa vijana wanaonyesha movie na hata game pia sio salama

Wao wanaangalia hela tu
Inabidi wadhibitiwe kabisa
Nchi yenyewe ya ******* hii, watu kuchukua hatua ni hadi maafa yatokee. Kuweka viraka tu kwenye mashimo ya barabara ni mpaka ajali serious ya kuua mamia ya watu itokee.

Huwa hatuwezi kuchukua tahadhari kabla, ni mpaka jambo litokee ndio tunakurupuka kama tuliokuwa usingizini
 
Mungu wangu!!!
Sijui ni mitandao na simu hizi na filamu wanazoonyeshwa watoto ambazo zinawazidi umri?

Watoto wanaangalia movie za mauwaji
Wenzetu sio wajinga wanaposema 18 only
Sasa watu wanaweka picha halafu watoto wadogo wanaangalia ndio naona matokeo yake haya
Polisi wafuatilie vizuri, haiwezekani mtoto amchinje mwemzake mpaka akate roho.
Mchinjaji ni mkubwa, ana 19 au 20, alimaliza form 4 mwaka jana
 
Nchi yenyewe ya ******* hii, watu kuchukua hatua ni hadi maafa yatokee. Kuweka viraka tu kwenye mashimo ya barabara ni mpaka ajali serious ya kuua mamia ya watu itokee.

Huwa hatuwezi kuchukua tahadhari kabla, ni mpaka jambo litokee ndio tunakurupuka kama tuliokuwa usingizini
Na sheria za kijima pia
Yaani kiongozi anasimama na kukataza jambo kama anaongea na watoto wake.

Badala ya kuweka kama sheria kwa maandishi na likapitishwa
Ila nchi ya hovyo kweli
 
Na ushirikina pia unaweza kuwemo, nimekumbuka yule mtoto wa miaka 11 miaka ya 2009 hivi nafikiri tabata au segerea alichinja mtoto wa miaka 3 akakutwa na kichwa anakula
Anaitwa Rama mla watu....
Yupo uraiani sasa
 
Anaitwa Rama mla watu....
Yupo uraiani sasa
Yaani niliogopa kipindi iko na nlikuwa mkubwa tu form6 nikiamka asubuhi kwenda shule naogopa kufungua geti mwenyewe😀😀😀😀 nlianza kuingia shule saa 4 woooiii afu alivojasili akawaponda maaskari na kile kichwa
 
إنا لله وإنا إليه راجعون
Endeleeni tu kuwawekea movies watoto, madhara yake mnayaona.

kwa upande wa ndugu zangu waislamu tujitahidini kuwasomesha watoto wetu dini, waijue vizuri.
 
Back
Top Bottom