Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 35,204
- 61,081
Inasikitisha sanaInasikitisha sana sana na kumuumiza mno.
Mimi na muwazia tu huyo mtoto mtuhumiwa sijui kwa sasa ata kuwa na haki gani! Heri angekuwa mtu mzima tungesema dhamiri inamsuta sasa!
Kweli kabisaInshallah, lakini Mungu ni mwema wakati wote
Sio kukurupuka bali waandishi ndio wanakurupukaUmekurupuka mzee, aliyefanya mauaji wala sio under 18
Nchi yenyewe ya ******* hii, watu kuchukua hatua ni hadi maafa yatokee. Kuweka viraka tu kwenye mashimo ya barabara ni mpaka ajali serious ya kuua mamia ya watu itokee.Watoto hawalelewi kama watoto siku hizi.
Haya ndio matokeo yake,
Mtoto mpaka anamchinja mwenzie katoa wapi ukatili wa aina hiyo kama sio movie
Tamaa za hawa vijana wanaonyesha movie na hata game pia sio salama
Wao wanaangalia hela tu
Inabidi wadhibitiwe kabisa
Mungu wangu!!!
Sijui ni mitandao na simu hizi na filamu wanazoonyeshwa watoto ambazo zinawazidi umri?
Watoto wanaangalia movie za mauwaji
Wenzetu sio wajinga wanaposema 18 only
Sasa watu wanaweka picha halafu watoto wadogo wanaangalia ndio naona matokeo yake haya
Mchinjaji ni mkubwa, ana 19 au 20, alimaliza form 4 mwaka janaPolisi wafuatilie vizuri, haiwezekani mtoto amchinje mwemzake mpaka akate roho.
Shukran kwa kuliweka sawaMchinjaji ni mkubwa, ana 19 au 20, alimaliza form 4 mwaka jana
Na sheria za kijima piaNchi yenyewe ya ******* hii, watu kuchukua hatua ni hadi maafa yatokee. Kuweka viraka tu kwenye mashimo ya barabara ni mpaka ajali serious ya kuua mamia ya watu itokee.
Huwa hatuwezi kuchukua tahadhari kabla, ni mpaka jambo litokee ndio tunakurupuka kama tuliokuwa usingizini
Muuaji dini gani? Maana kuna dini zinapenda zaidi kukata wenzao makoromeoMuuaji amemaliza form four unamuita mtoto acheni ujinga nyie
USSR
Bila shaka umewaza kobaziMuuaji dini gani? Maana kuna dini zinapenda zaidi kukata wenzao makoromeo
Hapana. Unataka kuniletea ugomvi mkuuBila shaka umewaza kobazi
Mambo mengine ni Karma.Mtoto Elvila Eliudi mwenye umri wa miaka mitano, amefariki dunia baada ya kuchinjwa na mtoto wa mmoja wa wapangaji waliokuwa wakiishi nyumba moja Temboni Kimara Dar es Salaam.
View attachment 3291484
Video: ITV Digital
For sure. Picha haiji kabisa.Polisi wafuatilie vizuri, haiwezekani mtoto amchinje mwemzake mpaka akate roho.
Mmh!inasikitisha sanaMtoto Elvila Eliudi mwenye umri wa miaka mitano, amefariki dunia baada ya kuchinjwa na mtoto wa mmoja wa wapangaji waliokuwa wakiishi nyumba moja Temboni Kimara Dar es Salaam.
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/14ucohMr9BZ/
Haya matukio yanatia hofu sana kwa kweli! Mungu tusaidie.
Habari kwa hisani ya ITV.
Mmh!kumbe huyo lulu ni binti jaman inaogopeshaMtoto Elvila Eliudi mwenye umri wa miaka mitano, amefariki dunia baada ya kuchinjwa na mtoto wa mmoja wa wapangaji waliokuwa wakiishi nyumba moja Temboni Kimara Dar es Salaam.
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/14ucohMr9BZ/
Haya matukio yanatia hofu sana kwa kweli! Mungu tusaidie.
Habari kwa hisani ya ITV.
Anaitwa Rama mla watu....Na ushirikina pia unaweza kuwemo, nimekumbuka yule mtoto wa miaka 11 miaka ya 2009 hivi nafikiri tabata au segerea alichinja mtoto wa miaka 3 akakutwa na kichwa anakula
Yaani niliogopa kipindi iko na nlikuwa mkubwa tu form6 nikiamka asubuhi kwenda shule naogopa kufungua geti mwenyewe😀😀😀😀 nlianza kuingia shule saa 4 woooiii afu alivojasili akawaponda maaskari na kile kichwaAnaitwa Rama mla watu....
Yupo uraiani sasa