Mtoto mwingine wa kigogo ahangukia pua ndan ya kibaha form six results 2012

Mtoto mwingine wa kigogo ahangukia pua ndan ya kibaha form six results 2012

Huyu hapa umemuonea bure! Kafaulu kabisa, ukukokotoa cut-off point zake ni 4.0 ambazo vyuo kama SUA ,MUCCOBs nk minimum entry requirements ni hiyo. So kama mtu anaqualify kuingia chuo kikuu iweje useme kaangukia pua? Hizi zitakuwa chuki binafsi


Mdau acha kupotosha umma!Cutt off point ni 4 kweli sikatai lakini ni kwa masomo mawili ya basic nikimaanisha kuwa BAM na GS hayahesabiwi!Sasa huyo masomo gani mawili ukijumlisha yanamfikisha 4 na afterall hiyo ndiyo minimum requirement.Dogo ajipange kwa deploma katika vyuo vya kata vile vya posta na kariakoo!!
 
Huyu hapa umemuonea bure! Kafaulu kabisa, ukukokotoa cut-off point zake ni 4.0 ambazo vyuo kama SUA ,MUCCOBs nk minimum entry requirements ni hiyo. So kama mtu anaqualify kuingia chuo kikuu iweje useme kaangukia pua? Hizi zitakuwa chuki binafsi

umekosea @ kingmairo,minimum point yake ni 3.5 na sio 4.0 kama ulivyorema.
 
siku hizi division three unapata nafasi ya chuo kiurahisi tu sio kama enzi zetu wote tunatupia macho UDSM na Mzumbe
 
Kwako mleta mada hivi ww hata shule ulimaliza kweli?nini maana ya ahangukia? Kuja kwingine anasema mama chizi bana tahira ADI raha what is "adi"?
 
unatuumiza macho;

[TABLE="class: cms_table"]
[TR]
[TD="width: 22%"]jeremiah j mwambi
[/TD]
[TD="width: 6%"]15[/TD]
[TD="width: 4%"]iii[/TD]
[TD="width: 58%"]g/studies-s physics-s chemistry-e biology-d bam-f[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

hv we ulisoma hkl au mbona kwa watu wa combination it is a fair perfomance you are such a nut
 
Raia mnavyojua kuwadhalilixha watoto wa wa2 cjui na nyie hamtakuwa na watoto bwana.

not fair , hawa watoto wanafedheheshwa sana jinsi wandugu mnavyowa waanika
Paty, Dottoz,

Nani anawaanika? Nani anawadhalilisha?

Baraza la Mitihani ndio linawaanika. Toka utotoni tumezoezwa kubandikiwa matokeo kwenye ukuta wa shule. Sasa, hizi ni enzi za dotcom, ukuta wa shule unafika dunia nzima.

Kosa ni la NECTA, NECTA ndio wanabandika matokeo ya watoto kwenye miti!
 
hapati chuo huyo na baba yake kafulia saiv......ataishia kuwa teja
 
Tanzania hamna chuo kinachochukua Cut Points below 4.5.. Kama kipo naomba mtujuze msianze kudhalilisha vyuo vyetu.
 
matokeo ya miaka hii yanatisha watu wengi wamelamba patupu
poleni sana mlioibua channel o
 
unatuumiza macho;

[TABLE="class: cms_table"]
[TR]
[TD]jeremiah j mwambi
[/TD]
[TD="width: 6%"]15[/TD]
[TD="width: 4%"]iii[/TD]
[TD="width: 58%"]g/studies-s physics-s chemistry-e biology-d bam-f[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

WaKATI MWINGINE MUWE MAKINI MTOTO WA BALOZI JAKA MWAMBIA ANAYEITWA JERRY ALISHAMALIZA CHUO MWAKA JUZI KWA LEVEL YA MASTERS NA SASA HIVI ANAFUNDISHA KWENYE MOJA YA VYUO VYA TANZANIA ...WAKATI MWINGINE MAJINA KAMA YANAENDANA MUWE MNAFANYA KA RESEARCH KADOGO MSIISHUSHIE HADHI JF
NA HII NDIO FB YA JERRY MNAYEMESEMA KUWA KADONDOKEA PUA
HUYU ALISHAMALIZA CHUO MWAKA JANA AMA MWAKA JUZI
https://www.facebook.com/profile.php?id=100000498616681
 
mziki wa PCB ni mnene wakuu.pepa 3 kila somo jumlisha na GS na BAM,unafikiri mchezo..
 
Back
Top Bottom