Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Waha mlio wengi huwa si wasema ukweli.Mkiulizwa makabila yenu mnakimbilia kusema..."mimi siyo muha.Ni Mzairwaa/Mkongomani au Mrundi"...!You,Haas/watwas,who has bewitched you!?Mimi ni mutu ya kongo kinshasa [emoji41]
Yani kumbe wakati alicious katoa hivyo vibao ulikuwa bado mdogo si mwaka 2012-2013 hivi? just miaka 7 nyumaBinafsi nikiwa mdogo siku zile nilikuwa namsikia mama akiimba sana nyimbo za huyu Binti Alicios. Mama yangu alipenda sana kuimba hasa nyimbo mbili za huyo Binti, ule uitwao Mpita njia, alioshirikiana na Mwanamama Juliana Kanyomozi na ule wa Posa ya Bolingo!
Huo ndio ulikuwa mwanzo wa mimi kumpenda Alicios, mpaka leo bado nampenda sana Alicios,
nikisikia sauti yake ni kama namuona mama yangu.
Sasa hapa nauliza ili nitambue mtoto mzuri Alicios yuko wapi na anafanya nini siku hizi?
Je, ameshaolewa au bado na ana watoto? Pia maisha yake yamekaa mkao gani, maana mara ya mwisho kumuona alikuwa so natural, anatia sana hamasa huyu dada.
View attachment 1010606View attachment 1010607
Hahaha...Daah! Kwamba sna chura wa Kihansi[emoji23]Chura anayo kaka, sema chura wake ni chura fulani adimu, huwezi kumpata kokote, yeye ana chura wa bwawa la kihansi.
Isitoshe anavyo vingi vya kuvutia, - sauti tamu
- umbo malidhawa kabisa lile [emoji41]
Chura anayo kaka, sema chura wake ni chura fulani adimu, huwezi kumpata kokote, yeye ana chura wa bwawa la kihansi.
Isitoshe anavyo vingi vya kuvutia, - sauti tamu
- umbo malidhawa kabisa lile [emoji41]
Mtoto wa miaka 14kipindi hicho nilikuwa na miaka 7, sasa nina miaka 14, very interested
[emoji1] naona vijana wanaexpose miaka yao kwa threadAisee kumbe mimi muhenga sasa enzi za mpita njia niko naruka kwanja wengine humu ndio watoto wanasikiliza mama anauimba tu🤣🤣🤣🤣. Inabidi niweke picha yangu kwenye huu uzi na mimi Compilation ya Wahenga tu: Kila mwenye picha ya Mhenga aiweke hapa - JamiiForums manaake mileage zimesoma
Binafsi nikiwa mdogo siku zile nilikuwa namsikia mama akiimba sana nyimbo za huyu Binti Alicios. Mama yangu alipenda sana kuimba hasa nyimbo mbili za huyo Binti, ule uitwao Mpita njia, alioshirikiana na Mwanamama Juliana Kanyomozi na ule wa Posa ya Bolingo!
Huo ndio ulikuwa mwanzo wa mimi kumpenda Alicios, mpaka leo bado nampenda sana Alicios,
nikisikia sauti yake ni kama namuona mama yangu.
Sasa hapa nauliza ili nitambue mtoto mzuri Alicios yuko wapi na anafanya nini siku hizi?
Je, ameshaolewa au bado na ana watoto? Pia maisha yake yamekaa mkao gani, maana mara ya mwisho kumuona alikuwa so natural, anatia sana hamasa huyu dada.
View attachment 1010606View attachment 1010607
Ukishajua alipo nenda kwake chukua namba yake ya simu unipe kwani ninahitaji kumjuaBinafsi nikiwa mdogo siku zile nilikuwa namsikia mama akiimba sana nyimbo za huyu Binti Alicios. Mama yangu alipenda sana kuimba hasa nyimbo mbili za huyo Binti, ule uitwao Mpita njia, alioshirikiana na Mwanamama Juliana Kanyomozi na ule wa Posa ya Bolingo!
Huo ndio ulikuwa mwanzo wa mimi kumpenda Alicios, mpaka leo bado nampenda sana Alicios,
nikisikia sauti yake ni kama namuona mama yangu.
Sasa hapa nauliza ili nitambue mtoto mzuri Alicios yuko wapi na anafanya nini siku hizi?
Je, ameshaolewa au bado na ana watoto? Pia maisha yake yamekaa mkao gani, maana mara ya mwisho kumuona alikuwa so natural, anatia sana hamasa huyu dada.
View attachment 1010606View attachment 1010607
Keshazalishwa, mwili umeshamwagika.Binafsi nikiwa mdogo siku zile nilikuwa namsikia mama akiimba sana nyimbo za huyu Binti Alicios. Mama yangu alipenda sana kuimba hasa nyimbo mbili za huyo Binti, ule uitwao Mpita njia, alioshirikiana na Mwanamama Juliana Kanyomozi na ule wa Posa ya Bolingo!
Huo ndio ulikuwa mwanzo wa mimi kumpenda Alicios, mpaka leo bado nampenda sana Alicios,
nikisikia sauti yake ni kama namuona mama yangu.
Sasa hapa nauliza ili nitambue mtoto mzuri Alicios yuko wapi na anafanya nini siku hizi?
Je, ameshaolewa au bado na ana watoto? Pia maisha yake yamekaa mkao gani, maana mara ya mwisho kumuona alikuwa so natural, anatia sana hamasa huyu dada.
View attachment 1010606View attachment 1010607
Kweli mkuu ata mm nmemskia uyu mdada ni kijana nmecheza nyimbo nikilewaga mpaka basi.uyu kijana atakuwa ni wa.comAisee kumbe mimi muhenga sasa enzi za mpita njia niko naruka kwanja wengine humu ndio watoto wanasikiliza mama anauimba tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Inabidi niweke picha yangu kwenye huu uzi na mimi Compilation ya Wahenga tu: Kila mwenye picha ya Mhenga aiweke hapa - JamiiForums manaake mileage zimesoma
Du tuna watoto zetu humu ebu tafsida itamalaki wakuu
Makwapa meusiiiBinafsi nikiwa mdogo siku zile nilikuwa namsikia mama akiimba sana nyimbo za huyu Binti Alicios. Mama yangu alipenda sana kuimba hasa nyimbo mbili za huyo Binti, ule uitwao Mpita njia, alioshirikiana na Mwanamama Juliana Kanyomozi na ule wa Posa ya Bolingo!