Mtoto mzuri Alicios Theluji yuko wapi siku hizi?

Mimi ni mutu ya kongo kinshasa [emoji41]
Waha mlio wengi huwa si wasema ukweli.Mkiulizwa makabila yenu mnakimbilia kusema..."mimi siyo muha.Ni Mzairwaa/Mkongomani au Mrundi"...!You,Haas/watwas,who has bewitched you!?
 
Binafsi nikiwa mdogo siku zile nilikuwa namsikia mama akiimba sana nyimbo za huyu Binti Alicios. Mama yangu alipenda sana kuimba hasa nyimbo mbili za huyo Binti, ule uitwao Mpita njia, alioshirikiana na Mwanamama Juliana Kanyomozi na ule wa Posa ya Bolingo!

Huo ndio ulikuwa mwanzo wa mimi kumpenda Alicios, mpaka leo bado nampenda sana Alicios,
nikisikia sauti yake ni kama namuona mama yangu.

Sasa hapa nauliza ili nitambue mtoto mzuri Alicios yuko wapi na anafanya nini siku hizi?

Je, ameshaolewa au bado na ana watoto? Pia maisha yake yamekaa mkao gani, maana mara ya mwisho kumuona alikuwa so natural, anatia sana hamasa huyu dada.

View attachment 1010606View attachment 1010607
Yani kumbe wakati alicious katoa hivyo vibao ulikuwa bado mdogo si mwaka 2012-2013 hivi? just miaka 7 nyuma
 
Chura anayo kaka, sema chura wake ni chura fulani adimu, huwezi kumpata kokote, yeye ana chura wa bwawa la kihansi.
Isitoshe anavyo vingi vya kuvutia, - sauti tamu
- umbo malidhawa kabisa lile [emoji41]
Hahaha...Daah! Kwamba sna chura wa Kihansi[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani kumbe wakati alicious katoa hivyo vibao ulikuwa bado mdogo si mwaka 2012-2013 hivi? just miaka 7 nyuma
kipindi hicho nilikuwa na miaka 7, sasa nina miaka 14, very interested
 
Posa ya bolingo-audio na video zote kaliii
Ila sioni akiwa na nyimbo Nzuri kama hiyo.
 
Ipo inaitwa "Mpita Njia" ni Kali pia, aliimba na Juliana Kanyomozi.
 
Binafsi nikiwa mdogo siku zile nilikuwa namsikia mama akiimba sana nyimbo za huyu Binti Alicios. Mama yangu alipenda sana kuimba hasa nyimbo mbili za huyo Binti, ule uitwao Mpita njia, alioshirikiana na Mwanamama Juliana Kanyomozi na ule wa Posa ya Bolingo!

Huo ndio ulikuwa mwanzo wa mimi kumpenda Alicios, mpaka leo bado nampenda sana Alicios,
nikisikia sauti yake ni kama namuona mama yangu.

Sasa hapa nauliza ili nitambue mtoto mzuri Alicios yuko wapi na anafanya nini siku hizi?

Je, ameshaolewa au bado na ana watoto? Pia maisha yake yamekaa mkao gani, maana mara ya mwisho kumuona alikuwa so natural, anatia sana hamasa huyu dada.

View attachment 1010606View attachment 1010607
Binafsi nikiwa mdogo siku zile nilikuwa namsikia mama akiimba sana nyimbo za huyu Binti Alicios. Mama yangu alipenda sana kuimba hasa nyimbo mbili za huyo Binti, ule uitwao Mpita njia, alioshirikiana na Mwanamama Juliana Kanyomozi na ule wa Posa ya Bolingo!

Huo ndio ulikuwa mwanzo wa mimi kumpenda Alicios, mpaka leo bado nampenda sana Alicios,
nikisikia sauti yake ni kama namuona mama yangu.

Sasa hapa nauliza ili nitambue mtoto mzuri Alicios yuko wapi na anafanya nini siku hizi?

Je, ameshaolewa au bado na ana watoto? Pia maisha yake yamekaa mkao gani, maana mara ya mwisho kumuona alikuwa so natural, anatia sana hamasa huyu dada.

View attachment 1010606View attachment 1010607
Ukishajua alipo nenda kwake chukua namba yake ya simu unipe kwani ninahitaji kumjua
 
Binafsi nikiwa mdogo siku zile nilikuwa namsikia mama akiimba sana nyimbo za huyu Binti Alicios. Mama yangu alipenda sana kuimba hasa nyimbo mbili za huyo Binti, ule uitwao Mpita njia, alioshirikiana na Mwanamama Juliana Kanyomozi na ule wa Posa ya Bolingo!

Huo ndio ulikuwa mwanzo wa mimi kumpenda Alicios, mpaka leo bado nampenda sana Alicios,
nikisikia sauti yake ni kama namuona mama yangu.

Sasa hapa nauliza ili nitambue mtoto mzuri Alicios yuko wapi na anafanya nini siku hizi?

Je, ameshaolewa au bado na ana watoto? Pia maisha yake yamekaa mkao gani, maana mara ya mwisho kumuona alikuwa so natural, anatia sana hamasa huyu dada.

View attachment 1010606View attachment 1010607
Keshazalishwa, mwili umeshamwagika.
 
Makwapa meusiii
 
Kumbe kipindi cha yabolingo ulikua mtoto ?

Back
Top Bottom