Mtoto niliyemkataa miaka 4 iliyopita, anafanana na mimi. Sasa ameletwa karibu na ninapoishi

Ukweli utakuweka huru.
 
Duuh hii hatari dogo angekua hajafanana na Mimi ingekua kidogo afadhali au ningekua nimepanga mbona ningeacha Kodi ubaya nimejenga
 
Ubaya ubwela
 
Mwambie mkeo Kama ulikuwa UNABAKWA, na ulikuwa unaogopa kumwambia kipindi cha nyuma, , Ila hukujua kuwa kubakwa kule kungeleta madhara makubwa baadae, baada ya madhara kutokezea pia mwambie nilijikaza kufuchaa, na Sasa Hayo madhara yashaota mızıizi haswa,, na unajuta kwa kwani hukumwambia.
Sasa muulize yupo tayari kukusamehe na kukusaidiaa?
Akikwambia ndio .
Sasa mchukue dogo amuone Bila ya maelezo zaidi.
N.B
ZINAA NI MBAYA NA IMEKATAZWA NA VITABU VYOTE.
 
Daah Mimi nilishampaga huyu demu million 1 nikamuambia tusijuane nashangaa karudi tena
baada ya kumuona dogo kafanana nawewe na kuamini ni mwanao,,je hio m1 iliwatosha hadi mtoto kafika hapo, unajua walipitia changamoto ipi!?,,ongea na mkeo kama kuongea sasa huwezi,ongea na huyo mama mtoto akikubali mpangie nyumba sehem nyingine,huku ukiendelea kuhudumia mtoto

huku ukiendelea kujipanga jinsi na kumwambia mkeo,,,kosa ni kurudia kosa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…