Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
- Thread starter
- #21
Daah Mimi nilishasahau tangu mwaka 2020Sema usije ukakataa mtoto hata Kama upo broke mkubali kuna nguvu unipoteza ambayo Inge-flow ktk kazi zako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah Mimi nilishasahau tangu mwaka 2020Sema usije ukakataa mtoto hata Kama upo broke mkubali kuna nguvu unipoteza ambayo Inge-flow ktk kazi zako.
Ukweli utakuweka huru.Wanajamvi aisee ni noma nilimKataa mtoto miaka kama minne imepita Sasa ubaya Leo kaja na mama yake sehemu ambayo karibu na kwangu mtoto anafanana na Mimi mpaka nimeona aibu nikaangalia pembeni Sasa ubaya mama yake sijui kafanya makusudi kahamia huu mtaa aisee yaani dogo Bora asingefanana na Mimi ni noma maana inapoelekea ndoa yangu itaharibika maana dogo anachezacheza na wenzake karibu na kwangu ubaya akija kuanza mazoea na wanangu naona kama nitaumbuka nishaurini nifanyaje wadau
Mimi nilimKataa sababu nilikua nimeshaoa nikamuambia simtamtumbui huyo mtoto ndio akaondokaga Sasa nashangaa karudi tangia 2020Hivi kuna mwanaume mwenye akili anahekataa mimba?
Duuh hii hatari dogo angekua hajafanana na Mimi ingekua kidogo afadhali au ningekua nimepanga mbona ningeacha Kodi ubaya nimejengaKabla hajaambiwa na majirani, mwambie mwenyewe.
Inawezekana ataumia na kukawa na ugomvi lakini ni bora asikie toka kwako mwenyewe kuliko kuambiwa na walimwengu.
Kuwa kwako muwazi kwa mkeo kuende sambasamba na kurudisha mawasiliano na mwanao (sio mzazi mwenzio).
Daah Mimi nilishasahau tangu mwaka 2020
Daah Mimi nilishampaga huyu demu million 1 nikamuambia tusijuane nashangaa karudi tenaKama ni wako andaa bajeti yake uwe unaituma utabarikiwa mkuuusimtup kijana wetu
Hivi kuna mwanaume mwenye akili anayekataa mimba?
Ubaya ubwelaWanajamvi aisee ni noma nilimKataa mtoto miaka kama minne imepita Sasa ubaya Leo kaja na mama yake sehemu ambayo karibu na kwangu mtoto anafanana na Mimi mpaka nimeona aibu nikaangalia pembeni Sasa ubaya mama yake sijui kafanya makusudi kahamia huu mtaa aisee yaani dogo Bora asingefanana na Mimi ni noma maana inapoelekea ndoa yangu itaharibika maana dogo anachezacheza na wenzake karibu na kwangu ubaya akija kuanza mazoea na wanangu naona kama nitaumbuka nishaurini nifanyaje wadau
Nilishampaga million 1 mwaka 2020 nikamuambia tusijuane ila demu naona anafanya kama kunikomoa karudi tena huu mtaaMkuu, cha kufanya,
Kampingie chumba mbali na hapo,
Muahidi child support, na uwe unampa kidogo kidogo
Ni dhambi ila tatizo mke wangu ni wale wanawake ambao hata kama nikimuambia huyo dogo hatoishi Kwa amani mtaaniEpuka kukataa mtoto, hiyo ni dhambi
Daah Mimi nilishampaga huyu demu million 1 nikamuambia tusijuane nashangaa karudi tena
baada ya kumuona dogo kafanana nawewe na kuamini ni mwanao,,je hio m1 iliwatosha hadi mtoto kafika hapo, unajua walipitia changamoto ipi!?,,ongea na mkeo kama kuongea sasa huwezi,ongea na huyo mama mtoto akikubali mpangie nyumba sehem nyingine,huku ukiendelea kuhudumia mtotoDaah Mimi nilishampaga huyu demu million 1 nikamuambia tusijuane nashangaa karudi tena
Million 1 inalea motto had miaka 18?Nilishampaga million 1 mwaka 2020 nikamuambia tusijuane ila demu naona anafanya kama kunikomoa karudi tena huu mtaa