Huza nyumbaNimejenga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huza nyumbaNimejenga
Million 1 inalea motto had miaka 18?
Kwa hyo kumkataa ndo sahihi?Ni dhambi ila tatizo mke wangu ni wale wanawake ambao hata kama nikimuambia huyo dogo hatoishi Kwa amani mtaani
Ohoo! Unashangaa amerudi tena! Kwani amekusemesha? Yeye si anaishi kwake na habari zake! Ila huyo mwanamke ni kiboko amejua kukutesa kisaikolojia!Daah Mimi nilishampaga huyu demu million 1 nikamuambia tusijuane nashangaa karudi tena
Sasa na wew Million si inaisha kwenye mwezi mmoja tu wa kujifungua ?Nilishampaga million 1 mwaka 2020 nikamuambia tusijuane ila demu naona anafanya kama kunikomoa karudi tena huu mtaa
Ni mimi mkuu tatizo huyu mwanamke ni wa ndoa na Nina watoto nae 3Kwenye ndoa yako kati yako na mkeo nani provider?
DuuhHuna akili
Mchukue sasa unasubiri Nini?We Tahira kweli.Utaikimbia damu yako mpaka lini.Wanajamvi aisee ni noma nilimKataa mtoto miaka kama minne imepita Sasa ubaya Leo kaja na mama yake sehemu ambayo karibu na kwangu mtoto anafanana na Mimi mpaka nimeona aibu nikaangalia pembeni Sasa ubaya mama yake sijui kafanya makusudi kahamia huu mtaa aisee yaani dogo Bora asingefanana na Mimi ni noma maana inapoelekea ndoa yangu itaharibika maana dogo anachezacheza na wenzake karibu na kwangu ubaya akija kuanza mazoea na wanangu naona kama nitaumbuka nishaurini nifanyaje wadau
Bora umesema weweSasa na wew Million si inaisha kwenye mwezi mmoja tu wa kujifungua ?
Unahitaji constant support,
Otherwise utaua ndoa yako
Inaonyesha unaupungufu wa uanaume mwiliniNi mimi mkuu tatizo huyu mwanamke ni wa ndoa na Nina watoto nae 3
Pamoja na kutambua ni wako lkn bado unamkataa!!! Eti akija kucheza n wanao!! Mungu amkuze katika vyema ukubwani mkutaneubaya akija kuanza mazoea na wanangu naona kama nitaumbuka nishaurini nifanyaje wadau
Kisa mwanamke anaikana damu yake dahInaonyesha unaupungufu wa uanaume mwilini
Daah mkuu nipo kwenye dimbwi la mawazo Sanaa tangia asubuhi dogo alipopitaHapa tunatengeneza nishati chanya unajua the more unawajalia watoto wako the more unabarikiwa.
So kijana wetu usimtupe please don't do it
Anza kumuwekea sahani yake mkuu.
DuuhKisa mwanamke anaikana damu yake dah
DuuhMchukue sasa unasubiri Nini?We Tahira kweli.Utaikimbia damu yako mpaka lini.
Yatasaidia kitu hudumia mtoto wako naye akihudumiwa na wazazi wake ndio maana utamuona na kumuoa.hacha ujinga wa kusema mtoto wa nje ya ndoa hakuna kitu kama hicho,kwani shahawa zako zote ulimwaga ndani na sio nje.Duuh hii hatari dogo angekua hajafanana na Mimi ingekua kidogo afadhali au ningekua nimepanga mbona ningeacha Kodi ubaya nimejenga
Nmeshangaa sana inawezekana analelewa na mke wakeKisa mwanamke anaikana damu yake dah
Pamoja na kutambua ni wako lkn bado unamkataa!!! Eti akija kucheza n wanao!! Mungu amkuze katika vyema ukubwani mkutanDumb
MWanaume dhaifu!....ubaya ubwela.Pamoja na kutambua ni wako lkn bado unamkataa!!! Eti akija kucheza n wanao!! Mungu amkuze katika vyema ukubwani mkutane
Kuna wanaume wanaogopa wake zao Hadi aibuuNmeshangaa sana inawezekana analelewa na mke wake