Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
- Thread starter
- #61
Hamna sio kama naogopa ila naona nikimtambulisha dogo ataishi Kwa mateso sana namjua mke wanguKuna wanaume wanaogopa wake zao Hadi aibuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna sio kama naogopa ila naona nikimtambulisha dogo ataishi Kwa mateso sana namjua mke wanguKuna wanaume wanaogopa wake zao Hadi aibuu
Hivi unakataeje damu yako.huna moyo?? Una roho ngu kuliko shetani utakufa huku unajamba mwaka mzimaDaah ni noma sana mkuu Mimi nilishasahau hizi habari zake huyu demu halafu anajifanya kama Hana habari na anachokifanya
DuuhHivi unakataeje damu yako.huna moyo?? Una roho ngu kuliko shetani utakufa huku unajamba mwaka mzima
Duuh naomba isiwe hivyo aiseeOhoo! Unashangaa amerudi tena! Kwani amekusemesha? Yeye si anaishi kwake na habari zake! Ila huyo mwanamke ni kiboko amejua kukutesa kisaikolojia!
Hapo lazima tu wewe ndio utakuwa wa kwanza kujiweka karibu naye ili kuua soo. Yeye wala hana hata habar na wewe mana silaha yake kubwa ni huyo mtoto kucheza na watoto wako!
Tena katika ulimwengu wa kiroho watoto wako na huyo dogo ipo nguvu inawaunganisha na ipo siku wataenda naye nyumbani kwako kutazama TV.
Kujenga kwako hakubadilishi kuwa mtoto ni wako na hakukuzuii kuwa mkweli kwa mke wako.Duuh hii hatari dogo angekua hajafanana na Mimi ingekua kidogo afadhali au ningekua nimepanga mbona ningeacha Kodi ubaya nimejenga
Kaa na mama yake muombe msamaha kisha umuombe uwahamishe mbali na hapo na uanze kutoa huduma kwa mwanao.Hamna sio kama naogopa ila naona nikimtambulisha dogo ataishi Kwa mateso sana namjua mke wangu
Aisee hii ni hatariKujenga kwako hakubadilishi kuwa mtoto ni wako na hakukuzuii kuwa mkweli kwa mke wako.
Tubia hii dhambiWanajamvi aisee ni noma nilimkataa mtoto miaka kama minne imepita.
Sasa ubaya leo kaja na mama yake sehemu ambayo karibu na kwangu, mtoto anafanana na mimi mpaka nimeona aibu nikaangalia pembeni.
Sasa ubaya mama yake sijui kafanya makusudi kahamia huu mtaa aisee yaani dogo bora asingefanana na mimi, ni noma.
Inapoelekea ndoa yangu itaharibika maana dogo anachezacheza na wenzake karibu na kwangu ubaya akija kuanza mazoea na wanangu naona kama nitaumbuka.
Nishaurini nifanyaje wadau.
Daah yaani huyu demu sijui anatafuta nini Mimi nilishasahau hii ishu tangia mwaka 2020 na yeye ndio alifosi mpaka akapata mimbaWanawake bwana wakiamua lao linakua. Ameona isiwe tabu utajileta mwenyewe na kweli umejaa maana ushaanza kuweweseka acheni kuchepuka na wanawake wasioeleweka. Halafu si ukae kimya tu kwani shida iko wapi? Mtego alioweka umeshaanza kuingia soon atakudaka acha kuwa mjinga
Daah nilishaga muambia tusijuane tangia mwaka 2020 yaani kama nikikaa Naye chini kwenye kumhudumia si ndio atatumia fimbo ya kumleta mtoto karibu na ninapoishi Ili kunichapiaMkuu kaa Chini na mama yake myaweke Sawa kisha tumia protokali za kifamilia mtoto atambulishwe nyumbani ( ila kusema ukweli mkuu inaonekana wewe ni mwanaume wa ovyo sana and very week)
Hamna sio sifaKwa hiyo unajiona mjanja kumkataa mtoto,au unaona ni sifa?
Hujui nani atakua msaada wako hapo mbeleni utajutiaDaah yaani huyu demu sijui anatafuta nini Mimi nilishasahau hii ishu tangia mwaka 2020 na yeye ndio alifosi mpaka akapata mimba
DuuhHujui nani atakua msaada wako hapo mbeleni utajutia
DuuhDini imekufundisha nini?
Sawa nitajaribuKaa na mama yake muombe msamaha kisha umuombe uwahamishe mbali na hapo na uanze kutoa huduma kwa mwanao.
Narudia tena Mhudumie mwanao