Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah hatari sanani vizuri tu ukawa Karibu na mtoto unamdhulumu haki yake. Kila mtoto ana baba yeye anajivunia nini? Akikua atakutenda vibaya siku utakayomhitaji. Haijalishi kosa ni la mama yake.
Good boySawa nitajaribu
SawaGood boy
Tengeneza Amani kwa kuwa kama ni makosa yalishafanyika
Ukumbuke kuleta mrejesho kwamba Mambo yameendaje.Sawa
Wewe unaujinga sana damu yako unaionea aibu badala ya kutubu yaishe ili upate muda wa kulea mtoto bado unajishtukia ..Wanajamvi aisee nilimkataa mtoto miaka kama minne imepita.
Sasa ubaya leo kaja na mama yake sehemu ambayo karibu na kwangu, mtoto anafanana na mimi mpaka nimeona aibu nikaangalia pembeni.
Sasa ubaya mama yake sijui kafanya makusudi kahamia huu mtaa aisee yaani dogo bora asingefanana na mimi, ni noma.
Inapoelekea ndoa yangu itaharibika maana dogo anachezacheza na wenzake karibu na kwangu ubaya akija kuanza mazoea na wanangu naona kama nitaumbuka.
Nishaurini nifanyaje wadau.
Sawa dadaUkumbuke kuleta mrejesho kwamba Mambo yameendaje.
Ututag kabisa
Hamna sio hivyoWewe unaujinga sana damu yako unaionea aibu badala ya kutubu yaishe ili upate muda wa kulea mtoto bado unajishtukia ..
Daah sawaHivi una miaka mingapi kwanza? Damu yako unakuja kuomba ushauri ufanyaje? Ndoa inaweza kuvunjika, mkeo akapata mwanaume mwingine. Ila damu yako atakuwa nawewe mpaka uzee wako na anaweza huyu pekee ndiye akakujali, kuliko hao wa kwenye ndoa.
Ulijua una ndoa, ukaenda kufanyana huko bila protection. Sasa mlee huyo mtoto. Mkeo utajuana naye jinsi ya kumwambia. Ila huyo Malaika anza kupekeka matunzo, umri wa shule ukifika lipa ada. Huwa mnapata laana sababu ya hawa watoto, mnaowatelekeza.
Sawa mkuuHiyo inaitwa ubaya ubwela,
Inategemea mtoto ulimkataa katika mazingira gani ila kitu cha muhimu zaidi kaa nae mzazi mwenzako muyamalize ulee mtoto huyo.
Acha ujinga unakataaje mtoto ?Wanajamvi aisee nilimkataa mtoto miaka kama minne imepita.
Sasa ubaya leo kaja na mama yake sehemu ambayo karibu na kwangu, mtoto anafanana na mimi mpaka nimeona aibu nikaangalia pembeni.
Sasa ubaya mama yake sijui kafanya makusudi kahamia huu mtaa aisee yaani dogo bora asingefanana na mimi, ni noma.
Inapoelekea ndoa yangu itaharibika maana dogo anachezacheza na wenzake karibu na kwangu ubaya akija kuanza mazoea na wanangu naona kama nitaumbuka.
Nishaurini nifanyaje wadau.
Duuh raia nipeni ushauri naona mnanipondaAcha ujinga unakataaje mtoto ?
Mtambulishe MleeDuuh raia nipeni ushauri
Duuh sawa nitaifanyia kazi huu ushauriMsichojua ni kwamba Mungu anapokubariki analeta Baraka kulingana na majukumu yako yaani analeta Baraka pamoja na za watu wanaokutegemea wewe. Sasa unapokataa kumpokea au kuwa karibu na huyo Dogo sio kwamba hataishi Ila unajifungia milango ya Baraka zingine na kujijazia laana bure kwa malalamko ya mama yake na mtoto mwenyewe.
Kama unakuwa na mashaka Bora ulee mimba akizaliwa mtoto ufanye DNA Mara Mia kuliko kukataa mimba baada ya nyie wawili kula starehe
Mwanaume wa kweli hakatai mtoto....mwanaume wa kweli anaahidi hata kama ni uongo......mwanaume wa kweli hakimbiiii mtoto wakeWanajamvi aisee nilimkataa mtoto miaka kama minne imepita.