Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
- Thread starter
- #101
Sawa mkuuMwanaume wa kweli hakatai mtoto....mwanaume wa kweli anaahidi hata kama ni uongo......mwanaume wa kweli hakimbiiii mtoto wake
Hakunaga straiker wa kweli akakataa goli jombaaa....goli linakataliwaga na refaa sio straiker.....
KAMA unajiaminisha ulikojoa basi mbona unamkataaa chaliii hebu beba mwanao acha mazingaombwe bana!