Mods kwanini mnafuta Comments zetu? Nini lengo la kufungua hili Jukwaa?! Mbona tukisifia hamfuti..?.😖
JF imeingiliwa saivi wamefuta thread yangu kuwashauri TISS kusimamia mabadiliko ya Katiba ili nchi yetu iwe na mifumo imara kwa mustakabali mzuri. Ila wameacha thread inayowaomba hao hao TISS kumuandaa Makonda kuwa Rais. Siku hizi ni censorship humu. Wanaamua kipi cha kwenda hewani na kipi cha kutokwenda. Hili sio lile jukwaa la Maxense Mello tuliyemjua zamani!
 
Uzi wako ulikua mzuri sana
 
Melo analinda ugali wake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…