Conquistador
JF-Expert Member
- Jun 10, 2024
- 1,435
- 3,463
Hivi Jimbo la mtama ndio kule kuliko fuka Moshi kipindi Cha mwendazake?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu kwa kiti aliyofanya akifa nakunywa kreti ya Heller BierHivi kwanini watanzania tumekuwa na roho za ajabu kiasi hiki ?
Habari za watu kuumizwa ndizo zinatupa faraja, na huwa tunazitoa kwa ushabiki sana. Nadhani hili siyo jambo jema sana!
Tunakesha hapa leoLaleni mpumzishe hongo...
Apana ilikuwa jimbo la majaliwa luangwaHivi Jimbo la mtama ndio kule kuliko fuka Moshi kipindi Cha mwendazake?
Makonda akifa nitafanya sherehe kubwa sanaUkitangulia wewe hiyo sherehe utaifanyia kaburini?
Tulilia sana wakati wa lissuMkuu kwa ikiwa kweli huoni kama nchi itafarijika sana?
JF imeingiliwa saivi wamefuta thread yangu kuwashauri TISS kusimamia mabadiliko ya Katiba ili nchi yetu iwe na mifumo imara kwa mustakabali mzuri. Ila wameacha thread inayowaomba hao hao TISS kumuandaa Makonda kuwa Rais. Siku hizi ni censorship humu. Wanaamua kipi cha kwenda hewani na kipi cha kutokwenda. Hili sio lile jukwaa la Maxense Mello tuliyemjua zamani!Mods kwanini mnafuta Comments zetu? Nini lengo la kufungua hili Jukwaa?! Mbona tukisifia hamfuti..?.😖
Uzi wako ulikua mzuri sanaJF imeingiliwa saivi wamefuta thread yangu kuwashauri TISS kusimamia mabadiliko ya Katiba ili nchi yetu iwe na mifumo imara kwa mustakabali mzuri. Ila wameacha thread inayowaomba hao hao TISS kumuandaa Makonda kuwa Rais. Siku hizi ni censorship humu. Wanaamua kipi cha kwenda hewani na kipi cha kutokwenda. Hili sio lile jukwaa la Maxense Mello tuliyemjua zamani!
Maderator wameshanunuliwa saivi. Kuna nyuzi nyingi sana za maana wamezifanyia censorship na nyuzi za kijinga na kipuuzi ndo wanaziacha humu!Uzi wako ulikua mzuri sana
Mkuu, unataka mi ndo nikamwambie ageuke? 😳😁Mbona anacheza halafu hageuki?
Ndio chatu mla watu ila binadamu wabaya😔Hv saa tisa aliliwa na chatu? 🤔
Melo analinda ugali wake!JF imeingiliwa saivi wamefuta thread yangu kuwashauri TISS kusimamia mabadiliko ya Katiba ili nchi yetu iwe na mifumo imara kwa mustakabali mzuri. Ila wameacha thread inayowaomba hao hao TISS kumuandaa Makonda kuwa Rais. Siku hizi ni censorship humu. Wanaamua kipi cha kwenda hewani na kipi cha kutokwenda. Hili sio lile jukwaa la Maxense Mello tuliyemjua zamani!
Ubaya ubwelaAcha roho mbaya. Binadamu hatupo hivyo.
Mbona aliye kuwa anamtuma alikufa mwaka 2021 na tukazika Chato!! Huyu naye hatokwepa kikombe cha machunguItakuwa alikufanya kitu kibaya sana mkuu pole sana lkn Mungu ndio anachagua ambalo binadamu hawez