Tetesi: Mtoto pendwa kapatwa na nini? Yuko hoi kwa Madiba, inadaiwa ni sumu
Law of the universe !
WHAT goes around COMES around !

Kila mwenye Akili nzuri analijua hili na huwa anajiepusha na kuwatendea wengine mabaya kwa kuhofia ubaya huo utamrudia tu siku moja kama sio kwa yeye basi kwa kizazi chake 🙏🙌

What goes around comes around inatuhusu sisi sote 👍🙌
Mind you 😳🫀🙄 !
 
Siasa ni career hatari kuliko zote, japo return yake kwenye uwekezaji wake ni kubwa.
Siasa za kistaarabu na haki hazina uhatari wowote !

Ila siasa za majitaka kweli ni hatari !

Na hata hiyo return kubwa itakayopatikana huwa hafaidi yule aliyezipata kupitia hizo siasa za majitaka !
Huyo aliyewekeza kwenye hizo siasa za majitaka ataishia kwenye mahangaiko makubwa kuhusu Afya yake na mengineyo mengi ya kuumiza moyo 🙏🙌
 
Hivi kwanini watanzania tumekuwa na roho za ajabu kiasi hiki ?

Habari za watu kuumizwa ndizo zinatupa faraja, na huwa tunazitoa kwa ushabiki sana. Nadhani hili siyo jambo jema sana!
Ni kwasababu hilo litoto RC linafanya mambo gizani ya hovyo ..
Hasa awamu ya 5, alisimamia operation za kuumiza watu nyingi tuu ..
Najua utasema nitoe ushahidi ..lakini nakwambia DAB alihusika na operation nyingi za hovyo ..ndio maana unaona watu wanafurahi wakisikia na yeye kapatwa na jambo
 
"Mtoto mpendwa"?

Nani anampenda huyo mtoto. Baadhi yenu watu wa JF huwa mnajisahaulisha sana. Lakini yote haya inajulikana sababu yake ni nini...; kujikomba; uchawa, n.k..
Baadhi ya watu humu hata wakiona nyoka wao watamwita ni mnyoo, ili mradi tu waonekane wanapigania chama cha mapinduzi
Huyo wewe unaye mpachika "utoto mpendwa", ni misingi ipi inayokufanya wewe uone ni "mtoto mpendwa"?

Mtu kutumiwa kama kikaratasi cha chooni, ndiko kupendwa huko?
Huyo hapendwi, ila inamlazimu mteuzi kumleta karibu kwake kwa sababu inalazimu afanye hivyo, siyo kwa sababu ya mapenzi yake.

Mara nyingi unafiki unaoonyeshwa katika maandishi humu ndani ya JF, kwa sababu tu za uchama zinawaondolea heshima wenye tabia hizo.
Katika boxing hii tuna ita uppercut, Umeua
 
Siyo vizur kufurahia magumu anayopitia mtu, kwa sasa tumuombee arudi salama.
Wote mnaopata nafasi ni vizuri kujifunza kuheshimu na kuthamini watu maana bila watu huwezi kuonesha ubora au udhaifu wako.
 
Siyo vizur kufurahia magumu anayopitia mtu, kwa sasa tumuombee arudi salama.
Wote mnaopata nafasi ni vizuri kujifunza kuheshimu na kuthamini watu maana bila watu huwezi kuonesha ubora au udhaifu wako.
Aaah, una uhakika? Fikiria Trump akisikia Biden kashikwa na busha la ghafla au tumbo la kuharisha damu, atamtumia kadi ya geti weli suni?
 
Back
Top Bottom